Hatimaye uongozi sikivu wa Simba SC, waazimia kuboresha kikosi

Mbigirikavu

Senior Member
Joined
Aug 19, 2022
Posts
101
Reaction score
118
Kikao cha Bodi ya Wakurugenzi juzi, kimeamua kuleta furaha kwa wana Simba kwa kukisuka vilivyo kikosi cha Simba SC.

Baada ya kutambulisha kocha wa makipa na wa viungo, wataleta kocha mkuu, mtaalamu wa kuwasoma wapinzani, na wachezaji wanne:
  • Washambuliaji wawili.
  • Kiungo mkabaji.
  • Beki wa pembeni.

Source: Sports Arena

Tusubiri tuone aina ya makocha na aina ya wachezaji.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleteni manzoki, beki wa kati, beki wa pembeni na kiungo mkabaji.
 
Walete wafungaji tu, mabeki wanatosha.
 

Ko usajili wenu bora ndo umefanya mtolewe klabu bingwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…