Hatimaye 'viatu vya shetani' vyaingia sokoni by Lil Nas

Hatimaye 'viatu vya shetani' vyaingia sokoni by Lil Nas

Ishu ya viatu tumuachie kanye west. Yule mwamba hata atoe viatu vya vijiti watu wananunua tu.
 
Ishu ya viatu tumuachie kanye west. Yule mwamba hata atoe viatu vya vijiti watu wananunua tu.
Kweli mkuu, yule Kanye hata simwelewi, yaani mtu atengenezee yeboyebo/plastic slip-on's aziite Yeezy alafu watu kibao wananunua ghali ati sababu ni Kanye. 😂 😂 😂 😂 Nilipiga hesabu ati 10k Kenyan money niitolee yebo mm, wakati mtaani zipo slip-on kali bei chee! 🤣 Wazungu vichwa vibovu
 
Ila viatu ni vizuri mno, hongera yake kwa ubunifu ulio bora.
 
Back
Top Bottom