Mi nimemuona at least mmoja.Na hamna aliyevaa nguo za chama chao. Au wapo lakini sikuwaona?
Tusubiri maelezo yao ingawa bado sidhani kama wanastahili kuitwa wasaliti na kadhalika.
Amandla...
Ila mkuu wakati mwingine nakuonaga kama kichaa nimegundua nilikuwa nafikiria kwa mihemuko nisamehe mkuu,Naunga mkono hoja, Hongera sana Mhe. Halima Mdee kwa kutanguliza mbele maslahi ya taifa.
P
Wewe kibaraka wa Polepole tulia sisi tupo tunaendelea kuwepo lakini tumekataa ujinga wa mwenyekiti wa CHADEMA kuchukua pesa za CCM kuuza chama kisa njaa ya ruzuku.Wale vibaraka wa lisu watoke waseme kama wana achana na chadema
Ila kuna njaa ya hatari. Na kamwe usifanye deal na mwenye njaa, atakusaliti tu!!!Hakuna siasa Tanzania.
Narudia Tena. Hakuna siasa Tanzania [emoji849][emoji706][emoji706][emoji706][emoji57]
Yoooo 📦@Nyaningabu ukitoka kazini kubeba maboksi uje huku.
BAWACHA washaliamsha dude.
Kwani wapo CCM?
Imekula kwakeKwa hiyo Kamanda Lissu ndio ametelekezwa ama..?
Hamkosi ya kusema mwenyekiti ni mtanzania na anajua fika Tanzania kwanza, nyinyi wafuasi msiojitambua mtaendelea kupiga ramli wajinga nyie.Sasa mjinyonge Uchaguzi umekwishaaaaaaaaaCCM wamempa Rushwa kubwa mwenyekiti wa chadema ndipo akakubali ili jumuia za kimataifa zisiiwekee CCM vikwazo vya kiuchumi, wakaona pesa wanayokosa ni nyingi kuliko pesa za kuwanunua chadema wawaunge mkono angalau bunge lionekane ni la vyama vingi
Lissu kidomodomo aliongeleaje bila kushirikisha mwenyekiti Mbowe ohhh hatutapeleka Wabunge viti maalum CHADEMA yeye Lissu skinhea kama nani?Wale vibaraka wa lisu watoke waseme kama wana achana na chadema
Pesa iliyotumika kuwanunua umepata 10%?au wewe ndiyo dalali?Naunga mkono hoja, Hongera sana Mhe. Halima Mdee kwa kutanguliza mbele maslahi ya taifa.
P
Swali zuri sana hiliKwanini CCM mnafurahia wapinzani(wachelewesha maendeleo) kuingia Bungeni?
Hiyo ndiyo Tanzania 🇹🇿 ♥Vijana msije kufa kwasababu etimnapigania wanasiasa, unaandamana kama alivyokwambia unapigwa unavunjwa mguu kesho unasikia kile alichokuwa anapinga ndicho anafanya.
Bora kudiscuss mapenzi!
Fake news mpaka kuna video?Fake news