Uchaguzi 2020 Hatimaye Wabunge 19 wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

Uchaguzi 2020 Hatimaye Wabunge 19 wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

Na hamna aliyevaa nguo za chama chao. Au wapo lakini sikuwaona?

Tusubiri maelezo yao ingawa bado sidhani kama wanastahili kuitwa wasaliti na kadhalika.

Amandla...
Mi nimemuona at least mmoja.

Huyo kushoto kwenye picha aliyevaa gauni na ushungi [?] kichwani.

Au siyo rangi za CHADEMA hizo?

B3BB581D-A541-4730-9456-15A3645F7E02.jpeg
 
Wale vibaraka wa lisu watoke waseme kama wana achana na chadema
Wewe kibaraka wa Polepole tulia sisi tupo tunaendelea kuwepo lakini tumekataa ujinga wa mwenyekiti wa CHADEMA kuchukua pesa za CCM kuuza chama kisa njaa ya ruzuku.
 
Chama kitakuja na ufafanuzi baada ya Wabunge wa viti maalum kuingia Bungeni kukiwakilisha Chama, Muda utatoa majibu.
 
CCM wamempa Rushwa kubwa mwenyekiti wa chadema ndipo akakubali ili jumuia za kimataifa zisiiwekee CCM vikwazo vya kiuchumi, wakaona pesa wanayokosa ni nyingi kuliko pesa za kuwanunua chadema wawaunge mkono angalau bunge lionekane ni la vyama vingi
Hamkosi ya kusema mwenyekiti ni mtanzania na anajua fika Tanzania kwanza, nyinyi wafuasi msiojitambua mtaendelea kupiga ramli wajinga nyie.Sasa mjinyonge Uchaguzi umekwishaaaaaaaaa
 
Yaani Kuishi Kwangu sijawai kuona watu wasijielewa kama Wafuasi Wa CHADEMA kama humu Jamii Forums. Hawa Jamaa

1. Ni wanafki
2.Mazumbukuku ya siasa
3.Hawajitambui
4.Hawana msimamoo
5. Hopeless human Beingi
6.Wavivu Wa kufikiri
7JITAMBUENI KWANA NDIO MUISOME SIASA HATA KWA HISTORIA

Naangalia Comment Zenuu hapa Mpka nasikia Aibu kuwa na Vijana Wa aina hii..MTAKUWA LINI MTAIELEWA SIASA LINI MTATUMIKA MPKA LINI🤣😂🤣😂🤣😂🤣 Dah

Leo Mnahitaji Serikali ya Maridhano Jana mlitaka wafadhili Wasitishe misaada na Mikopo Mtaacha lini Upumbavu nyie Wafuasi Wa CHADEMA

NAWASUBILIA KESHO MTAJIFARIJI VIP TENA NYIYI MSIJE HATA CCM NENDENI CUF HUKU NA ACT NDIO AINA YA VYAMA WA WATU WAPUUZI PUZII
 
Back
Top Bottom