Uchaguzi 2020 Hatimaye Wabunge 19 wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

Wewe kibaraka wa Polepole tulia sisi tupo tunaendelea kuwepo lakini tumekataa ujinga wa mwenyekiti wa CHADEMA kuchukua pesa za CCM kuuza chama kisa njaa ya ruzuku.
Na bado mnatumika kama toilet paper mnapoambiwa mara muandamane bila kutumia akili zenu.
Sasa mjikusanye mchange pesa mwende mkawasaidie wale ambao wapo mahabusu nao warudi kitaa.
Mnatoa hapa michango ya kijinga kila siku mnadhani mnaweza kubadili maamuzi ya chama?

Tuliwambia hapa kuwa lazima hao wanawake waingie tu
Na hasa pale wanawake pendwa nao walikosa ubunge unadhani nani atabaki akisota miaka mitano nje?

Masilahi ya chama kwanza, ujinga wenu tupa kule.
 
Kipo sana tu speaker amesoma kanuni vema tu au mkamwambie Amsterdam awasaidie
 
Dawa ya nyani sio kumsusia SHAMBA.
Ila n kumlimia ale vizur??[emoji849][emoji848]. Em fikiri Tena bhna. Wakat ukisusa shamba atakua atamaliza na hakuna atakapo kula tena na hatimae kufa na njaa?
 
Nyie watu ujinga utawaisha lini?
Mlisema hamtaunga mkono mbunge wa chadema ateyeenda bungeni, sasa hivi mmegeuza nyimbo
Hata hivyo, kama kulikuwa na wabunge 70+ wa chadema akiwemo mbowe, mnyika, sugu, msigwa, lema, heche na walishindwa hilo hao wa viti maalum watafanya nini?
Kesi Sasa zianze ili NEC IWE HURU.
Maisha bado yanaendelea msikate tamaa.
 
Kwani kuna nini?

Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
Kuna harusi, na ndoa imefungwa sokoni wakati bwana harusi hajafika...teh[emoji12]
Alafu kuna mtu amekunya kule, akaja kuyarusha mavi kwa huku....[emoji851][emoji851]
Sasa hapa ni tafarani, watu wanakimbia hovyo na biharusi hajui wapi akajipanguse, maana yamemrukia...[emoji1787][emoji1787]
 
Mdude ameshapotezwa kirahisi tu..so sad.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…