Tulikuambia wewe si lolote Chadema bali ni vuvuzela tu!!Daaaah, katibu mkuu aite press aeleze nini kimejiri!
Hii kitu mbona imekuwa ghafla hivi? Kuna nini kinaendelea?
Nimefurahi kuona Nusrat Hanje amekula shavu,huyu dada ameipigania sana Chadema!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulikuambia wewe si lolote Chadema bali ni vuvuzela tu!!Daaaah, katibu mkuu aite press aeleze nini kimejiri!
Hii kitu mbona imekuwa ghafla hivi? Kuna nini kinaendelea?
Nimefurahi kuona Nusrat Hanje amekula shavu,huyu dada ameipigania sana Chadema!
Nilidhani wako serious [emoji24] kumbe nao n wale wale wapo Kama tikiti maji. Ndani jekundu nje la kijaniHaiyaaaah ona sasa, yaani siku zote ulikuwa hujaelewa tu!
Bado mwenyekiti kuteuliwa ubunge viti maalum vya JPMBora akae huko huko Belgium tu
MATAGA wanashangilia MDEE kurudi Bungeni, ila moyoni wanaumia kwakuwa walimtukana matusi yote!Wabunge Viti Maalum kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wameanza mchakato wa kusajiliwa Jijini Dodoma.
Majina yao yamewasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA
Wabunge wa viti Maalum CHADEMA wanaoapishwa ni:
1. Halima Mdee
2. Grace Tendeka
3. Ester Matiko
4. Kunti Yusuf
5. Salome Makamba
6. Anatropia Theonest
7. Hawa Mwaifunga
8. Tunza Malapo
9. Nusrat Hanje
10. Agnesta Lambat
11. Sophia Mwakagenda
12. Cecilia Pareso
13. Jesca Kishoa
14. Ester Bulaya
15. Naghenjwa Kaboyoka
16.
17.
18.
19.
HOTUBA FUPI YA HALIMA MDEE KWA NIABA YA WABUNGE WA VITI MAALUM WA CHADEMA
Nikishukuru chama changu cha CHADEMA kikiongozwa na Mwenyekiti wetu Freeman Mbowe ambao kupitia wao sisi tumepata nafasi ya kukiwakilisha chama chetu, viti hivi siyo hisani ila ni sehemu ya ushindi mkubwa ambao chama chetu kilipata
"Mh. Spika tumefanya kazi wote kwa miaka zaidi ya 10, tutafanya kazi kwa uaminifu kama Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni kwa uadilifu mkubwa, tuna vijana wapya sisi kama dada zao tutahakikisha wanafanya kazi nzuri kwa ajili ya Taifa hili
Zaidi tuwahakikishie wana CHADEMA nchi nzima, tutafanya kazi mliyotutuma kwa uaminifu na kwa uadilifu mkubwa sana, Mh Spika nikushukuru sana, wewe na chama chetu
Zaidi tuwahakikishie wana CHADEMA nchi nzima, tutafanya kazi mliyotutuma kwa uaminifu na kwa uadilifu mkubwa sana, Mh Spika nikushukuru sana, wewe na chama chetu"
Siku hizi bunge lina vichwa vichache hivi au majimbo yamepunguzwa idadi?.HahahaaaaaaWabunge Viti Maalum kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wameanza mchakato wa kusajiliwa Jijini Dodoma.
Majina yao yamewasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA
Wabunge wa viti Maalum CHADEMA wanaoapishwa ni:
1. Halima Mdee
2. Grace Tendeka
3. Ester Matiko
4. Kunti Yusuf
5. Salome Makamba
6. Anatropia Theonest
7. Hawa Mwaifunga
8. Tunza Malapo
9. Nusrat Hanje
10. Agnesta Lambat
11. Sophia Mwakagenda
12. Cecilia Pareso
13. Jesca Kishoa
14. Ester Bulaya
15. Naghenjwa Kaboyoka
16.
17.
18.
19.
HOTUBA FUPI YA HALIMA MDEE KWA NIABA YA WABUNGE WA VITI MAALUM WA CHADEMA
Nikishukuru chama changu cha CHADEMA kikiongozwa na Mwenyekiti wetu Freeman Mbowe ambao kupitia wao sisi tumepata nafasi ya kukiwakilisha chama chetu, viti hivi siyo hisani ila ni sehemu ya ushindi mkubwa ambao chama chetu kilipata
"Mh. Spika tumefanya kazi wote kwa miaka zaidi ya 10, tutafanya kazi kwa uaminifu kama Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni kwa uadilifu mkubwa, tuna vijana wapya sisi kama dada zao tutahakikisha wanafanya kazi nzuri kwa ajili ya Taifa hili
Zaidi tuwahakikishie wana CHADEMA nchi nzima, tutafanya kazi mliyotutuma kwa uaminifu na kwa uadilifu mkubwa sana, Mh Spika nikushukuru sana, wewe na chama chetu
Zaidi tuwahakikishie wana CHADEMA nchi nzima, tutafanya kazi mliyotutuma kwa uaminifu na kwa uadilifu mkubwa sana, Mh Spika nikushukuru sana, wewe na chama chetu"
Points pia....Tangu mwanzo nilikuwa napendele cdm wapeleke wabunge wa viti maalum bungeni.
Chama kinahitaji pesa ili kiweze kujiendesha, hao wabunge ni moja ya chanzo cha mapato ya chama.
Kusikiliza ushauri wa kigogo wa tweeter si vibaya lakini kufuata kila anachoamua nadhani haitakuwa sawa.
Unaweza kuthibitisha kuwa kuna sheria inayosema katibu wa chama asipotii basi mwenyekiti wa Bawacha taifa anamamlaka ya kupeleka majina kivyovyote vile kama unavyojinasibu hapa?Sheria ya tume inawataka Chadema wapeleke majina ya viti maalum.
Katibu wa chama asipotii basi mwenyekiti wa Bawacha taifa anamamlaka ya kupeleka majina kivyovyote vile.
Vijana wadogo kujiharibia maisha bila sababu za msingi. Tito Magoti na mwenzie pia..vijana wadogo kushindana na serikali sijui kupata umaarufu ama niniAsiyefunzwa na wazazi hufunzwa na dunia.
I like mtanzania anayejali uzalendo. Tunawatakia kila la kheri, wachape kaziWabunge Viti Maalum kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wameanza mchakato wa kusajiliwa Jijini Dodoma.
Majina yao yamewasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA
Wabunge wa viti Maalum CHADEMA wanaoapishwa ni:
1. Halima Mdee
2. Grace Tendeka
3. Ester Matiko
4. Kunti Yusuf
5. Salome Makamba
6. Anatropia Theonest
7. Hawa Mwaifunga
8. Tunza Malapo
9. Nusrat Hanje
10. Agnesta Lambat
11. Sophia Mwakagenda
12. Cecilia Pareso
13. Jesca Kishoa
14. Ester Bulaya
15. Naghenjwa Kaboyoka
16.
17.
18.
19.
HOTUBA FUPI YA HALIMA MDEE KWA NIABA YA WABUNGE WA VITI MAALUM WA CHADEMA
Nikishukuru chama changu cha CHADEMA kikiongozwa na Mwenyekiti wetu Freeman Mbowe ambao kupitia wao sisi tumepata nafasi ya kukiwakilisha chama chetu, viti hivi siyo hisani ila ni sehemu ya ushindi mkubwa ambao chama chetu kilipata
"Mh. Spika tumefanya kazi wote kwa miaka zaidi ya 10, tutafanya kazi kwa uaminifu kama Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni kwa uadilifu mkubwa, tuna vijana wapya sisi kama dada zao tutahakikisha wanafanya kazi nzuri kwa ajili ya Taifa hili
Zaidi tuwahakikishie wana CHADEMA nchi nzima, tutafanya kazi mliyotutuma kwa uaminifu na kwa uadilifu mkubwa sana, Mh Spika nikushukuru sana, wewe na chama chetu
Zaidi tuwahakikishie wana CHADEMA nchi nzima, tutafanya kazi mliyotutuma kwa uaminifu na kwa uadilifu mkubwa sana, Mh Spika nikushukuru sana, wewe na chama chetu"
Sehemu pekee na tulivu kwa sasa ni CCM.Leo naenda kuchoma kadi yangu ya CHADEMA na kujiunga rasmi na ACT-Wazalendo!
Mbaya Sana kutumika bila fadhila ... Hakusoma alama za nyakatiAnaugulia tumbo la kuhara huko temeke[emoji2][emoji2][emoji2]
Shaur yake[emoji23][emoji23][emoji23]Mbaya Sana kutumika bila fadhila ... Hakusoma alama za nyakati
Kasome vizuri mamlaka ya mwenyekiti wa Bawacha kwenye katiba ya Chadema inasemaje.Unaweza kuthibitisha kuwa kuna sheria inayosema katibu wa chama asipotii basi mwenyekiti wa Bawacha taifa anamamlaka ya kupeleka majina kivyovyote vile kama unavyojinasibu hapa?