Uchaguzi 2020 Hatimaye Wabunge 19 wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

Uchaguzi 2020 Hatimaye Wabunge 19 wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

Jambo la kusikitisha ni kwamba kwa nini Zitto na Lissu waliachwa wakabwabwaje huku nyuma watu wakiendelea na mipango yao?.
 
Tuliwaambia kuwa kabla ya
twende mbele turudi nyuma, ili kuikabli vzr CCM kidemokrasia ni lazima nguvu ya wananchi ihusike...
chdema wao kama wao kuitoa madarakano CCM awawezi pasipo wananchi kushiriki....
Uitoe ccm nani atawale, wewe umechanganyikiwa.Nyerere aliwahi kusema.Kama nchi itaachiwa wapinzani basi dunia itawashangaa watanzania. Usitegemee chama tofauti na ccm
 
Jambo la kusikitisha ni kwamba kwa nini Zitto na Lissu waliachwa wakabwabwaje huku nyuma watu wakiendelea na mipango yao?.
Zitto na Tundu nao wana mipango yao kule German na Belgium

Wanawake watumika kisha wakatelekezwa sasa wamejiongeza
 
View attachment 1633910
unazungumzia Mnyika yupi
Tuamini wewe au tumwamini ambaye yuko mbungeni na kasema wazi kuwa ametumwa na chama chake cha CHADEMA?

Punguza mahaba na siasa,utakufa kabla ya umri wako,pole maana hukujiandaa kwa hili pigo
Screenshot_20201124-173402.jpg
 
Kipo, mbunge anaapa kwa spika. Hivyo sio lazima kuwepo vikao ndio mbunge aape. Hata hao wa ccm waliaapa kabla hata ya vikao vya bunge kuanza
 
Your problem is short sighted!
Pole sana. Watu huwa tuna foresee yajayo na siyo ya jana wala leo.
Kususia Bunge kwa kukataa Viti 19 ambavo viko Kikatiba ni uxuxu.
Swala la UCHAGUZI KUTOKUWA HURU NA HAKI KILA MTU ANAJUA NA DUNIA INAJUA. Hawa Wabunge ndo watakao kwenda kuwasha moto na kuibua madudu ya Uchaguzi hewa uliofanyika 28 OK 2020.
Watu Wana povuka kuhusu hivi viti maalumu hawajui umuhimu wa kusaidia CDM isipotee midomoni,na hata speaker akiwatesa SAUTi yao itasikika, pia CDM kugoma kuwapeleka wangepoteza support ya kina mama wengi. Hii ni good move kuliko mihemko ya wengi humu mtandaoni
 
Tuamini wewe au tumwamini ambaye yuko mbungeni na kasema wazi kuwa ametumwa na chama chake cha CHADEMA?

Punguza mahaba na siasa,utakufa kabla ya umri wako,pole maana hukujiandaa kwa hili pigo View attachment 1633944
Hongera sana Halima. Mwanamke Jasiri wewe💥💥💥

Halafu kuna mtu kamtolea mfano halima naomba hapa....... Dah
 
Hivi munaolalamika mlitaka wavunje katiba? Pili washasema hawaingia kwenye uchaguzi mpaka kuwe na mabadiliko hivyo wanatumia nafasi yao waliyopata kwa kura walizopewa hayo mambo mengine watajipanga wenyewe wanafanyeje kutetea walipodhurumiwa maana hata mashabiki wenyewe wapo wanasubiri hatua watakazochukua waliombele kwenye mapambano au Kuna mtu yupo msituni jamani atujulishe? Au munasubiri kusikia wamesusa bila kufanya chochote wakati bunge linaendelea na hamjui Kama kupeleka kesi mahakami au hatua zozote za maamuzi huwa zinachukua muda mrefu, hebu muliovunjika moyo wapeni wenzenu nguvu kwa maamuzi waliyoyachukua yakutokususia bunge litaloendelea hata Kama hao watu hawapo.
 
WATU BWANA WALIPOGOMA KWENDA WAKAWA WANALALAMIKA WAENDE
WAMEENDA HAO HAO WANALALAMIKA TENA

NDIO ANASEMAGA BWEGE

UNA NJAAAA ----EEEH
UMESHIBA -----EEEH
 
Tuamini wewe au tumwamini ambaye yuko mbungeni na kasema wazi kuwa ametumwa na chama chake cha CHADEMA?

Punguza mahaba na siasa,utakufa kabla ya umri wako,pole maana hukujiandaa kwa hili pigo View attachment 1633944
utakuwa na shida mahali. unaniamini mimi kivipi wakati nimeweka twit ya Mnyika. hao wa bungeni kwa akili ya kawaida tu wanaaminika?unadhani wanaweza kufanya yote bila utetezi
 
Jukwaa la mapambano na kuzungumzia yatokanayo na uchaguzi ni bungeni.
Busara imetumika kuwapekeka viti maalum kwani yote ambayo wanadai watayasema bungeni na yataingia kwenye kumbukumbu (hansard).
Wanaweza pia kutoa ushahidi ikibidi.
Huu pia ni msingi wa chama kwa uchaguzi ujao.
 
Wanasiasa wote ni timu moja tu kuwalaghai wananchi walipe kodi wagawane. Ewe mwananchi amka usingizini jitetee mwenyewe.
 
Back
Top Bottom