Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Aliekuambia Jamaa alie Juu hua ni mfuata Katiba ni nani?Katiba ya Chama cha Mapinduzi inaagiza Waziri ni lazima awe mbunge aliyetoka na Chama Cha Mapinduzi.
Uitoe ccm nani atawale, wewe umechanganyikiwa.Nyerere aliwahi kusema.Kama nchi itaachiwa wapinzani basi dunia itawashangaa watanzania. Usitegemee chama tofauti na ccmtwende mbele turudi nyuma, ili kuikabli vzr CCM kidemokrasia ni lazima nguvu ya wananchi ihusike...
chdema wao kama wao kuitoa madarakano CCM awawezi pasipo wananchi kushiriki....
Zitto na Tundu nao wana mipango yao kule German na BelgiumJambo la kusikitisha ni kwamba kwa nini Zitto na Lissu waliachwa wakabwabwaje huku nyuma watu wakiendelea na mipango yao?.
Watu wako na dolari mfukoni mkuu.Tunasubiri Neno la mbowe, na kuwafutilia mbali uanachama hao wasaliti
KabisaYapendezaaaaa
Tuamini wewe au tumwamini ambaye yuko mbungeni na kasema wazi kuwa ametumwa na chama chake cha CHADEMA?View attachment 1633910
unazungumzia Mnyika yupi
Watu Wana povuka kuhusu hivi viti maalumu hawajui umuhimu wa kusaidia CDM isipotee midomoni,na hata speaker akiwatesa SAUTi yao itasikika, pia CDM kugoma kuwapeleka wangepoteza support ya kina mama wengi. Hii ni good move kuliko mihemko ya wengi humu mtandaoniYour problem is short sighted!
Pole sana. Watu huwa tuna foresee yajayo na siyo ya jana wala leo.
Kususia Bunge kwa kukataa Viti 19 ambavo viko Kikatiba ni uxuxu.
Swala la UCHAGUZI KUTOKUWA HURU NA HAKI KILA MTU ANAJUA NA DUNIA INAJUA. Hawa Wabunge ndo watakao kwenda kuwasha moto na kuibua madudu ya Uchaguzi hewa uliofanyika 28 OK 2020.
Hongera sana Halima. Mwanamke Jasiri wewe💥💥💥Tuamini wewe au tumwamini ambaye yuko mbungeni na kasema wazi kuwa ametumwa na chama chake cha CHADEMA?
Punguza mahaba na siasa,utakufa kabla ya umri wako,pole maana hukujiandaa kwa hili pigo View attachment 1633944
Msimamo wenu wewe ka nani? Halima kasema ametumwa na chama,wewe unaleta longo longo za msimamo wenuNasema hivi, sisi msimamo wetu uko pale pale. Hutaki jinyonge.
utakuwa na shida mahali. unaniamini mimi kivipi wakati nimeweka twit ya Mnyika. hao wa bungeni kwa akili ya kawaida tu wanaaminika?unadhani wanaweza kufanya yote bila uteteziTuamini wewe au tumwamini ambaye yuko mbungeni na kasema wazi kuwa ametumwa na chama chake cha CHADEMA?
Punguza mahaba na siasa,utakufa kabla ya umri wako,pole maana hukujiandaa kwa hili pigo View attachment 1633944
Jidanganye, watu wamefuata pesa bungeni wewe Bado unaamini wanaenda kukiwasha? Watakiwasha kipi?Hao wapo hapo kimkakati, embu tusubiri huenda wakawasha moto bungeni
No, ni kwa manufaa ya nchi yetu.Daaah!! Njaa mbaya.[emoji2][emoji2][emoji119][emoji119]
Imani nyepesi hiyo.Leo naenda kuchoma kadi yangu ya CHADEMA na kujiunga rasmi na ACT-Wazalendo!