Pilot_In_Command
JF-Expert Member
- Nov 10, 2013
- 2,507
- 3,442
Dada wa chato yupiNusrat Hanje na yule dada wa Chato daah wamepigana sana...mungu awaongoze
🤣🤣Msimamo uko pale pale boss, usiwe na haraka maana utaona mengi ambayo hukuyategemea.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Fake news huku kina Halima washaapa [emoji23][emoji23]
Pole sana aisee
Kasome kanuni zao huko bungeni wacha kukimbila huku kujadili ujinga wako...[emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]Hii dunia kweli duara. Haya yanayoendelea katika taifa hili kuna kitu kinajitafuta.
Mimi sio mtaalum wa masuala ya sheria na uendeshaji wa Bunge. Je ni sahihi kuapisha mbunge ama wabunge nje ya vikao vya bunge?
Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
Natafuta kujua unahali gani sasa hivi hapo ulipo.hawana baraka za chama acha kuzusha
🤣🤣Wapi MWALLA Hadi ukanitukana pole kunywa maji mengi
....ameamua kununua DOUBLE KICK hapa jirani..🤣Natafuta kujua unahali gani sasa hivi hapo ulipo.
Hebu ngoja kwanza... sisi wanainch tuitoe ccm kushirikiana na chadema alaf madarakani akae nani? CHADEMA? kweli bado unadhani chadema bado wanafaa kupewa inch hii???twende mbele turudi nyuma, ili kuikabli vzr CCM kidemokrasia ni lazima nguvu ya wananchi ihusike...
chdema wao kama wao kuitoa madarakano CCM awawezi pasipo wananchi kushiriki....
nimesema tuwape muda so tuwe na subiraJidanganye, watu wamefuata pesa bungeni wewe Bado unaamini wanaenda kukiwasha? Watakiwasha kipi?
Fact of the day...The difference between a politician and a statesman is that a politician thinks about the next election while the statesman think about the next generation.
Rudi CCM maana huku hakuna uhuni kama huo,pole sana mkuuSisi ndio tuliwapa kura, hivyo wao wanaweza kufanya watakalo lakini support yetu wasahau.
🤣🤣Sisi ndio tuliwapa kura, hivyo wao wanaweza kufanya watakalo lakini support yetu wasahau.