jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
CCM ni watu wa amani na furaha siku zoteCCM leo mmefurahi kuliko mlivyofurahi kushindishwa ushindi wa kishindo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM ni watu wa amani na furaha siku zoteCCM leo mmefurahi kuliko mlivyofurahi kushindishwa ushindi wa kishindo!
...CCMMwaka 2025 sijui watagombea wapi?
Amandla..
Pole sana bwana OKwi,hakuna namna hiyo ndo CHADEMA iliyojaa wahuni na watu wenye ndimi mbiliutakuwa na shida mahali. unaniamini mimi kivipi wakati nimeweka twit ya Mnyika. hao wa bungeni kwa akili ya kawaida tu wanaaminika?unadhani wanaweza kufanya yote bila utetezi
Wamefanya ambacho na wewe ungefanya kama ungekua nafasi yao, acha unafiki.Kigogo huwa hakurupuki ...ukweli umeishi...
Ila kwa kweli nmechoka sana...sina ham na wanasiasa
.....umechelewa KUJUA...Duuu inasikitikisha sanaa kama ni ya kweli. Kama ni hivyo hakuna chama cha siasa bongo ni muda wa kuachana na siasa za bongo nw nikutafuta pesa na kupambania maisha yko ninafsi
Siri zote zitavuja tu sasa na magaidi wote waliokuwa wamepanga kufanya ugaidi kwenye uchaguzi sasa tutawajua na kushughulikiwa ipasavyo labda wakimbie kama Lema!Wewe ni mwehu,mimi ni mtumishi na sinufaiki chochote na chama chochote!Ila naiunga mkono Chadema,kama unateseka ni juu yako!
Chadema fukuzeni wote hao ili mjenge heshima yenu....Mnyika kashakataa kwamba hawakupeleka majina.....Ni bora Chadema ijiendeshe kwa michango kuliko kufanya ujinga wa kubariki wapuuzi kama kina mdee na bulaya.Leo naenda kuchoma kadi yangu ya CHADEMA na kujiunga rasmi na ACT-Wazalendo!
🤣🤣Pole sana bwana OKwi,hakuna namna hiyo ndo CHADEMA iliyojaa wahuni na watu wenye ndimi mbili
Hahahahhahahahhahahaha....ameamua kununua DOUBLE KICK hapa jirani..[emoji1787]
Hawafukuzwi Wala Nini...Chadema fukuzeni wote hao ili mjenge heshima yenu....Mnyika kashakataa kwamba hawakupeleka majina.....Ni bora Chadema ijiendeshe kwa michango kuliko kufanya ujinga wa kubariki wapuuzi kama kina mdee na bulaya.
Mdeee amekuwa mbunge zaidi ya miaka 15 lakini bado anaendekeza NJAA.
🤣🤣Hahahahhahahahhahahaha
Akili zako zitakuwa zina matege!Unaweza kukuta mimi nakula keki ya taifa zaidi yako halafu unashupaza shingo hapa!Siri zote zitavuja tu sasa na magaidi wote waliokuwa wamepanga kufanya ugaidi kwenye uchaguzi sasa tutawajua na kushughulikiwa ipasavyo labda wakimbie kama Lema!
Mbowe ana njaa ya ruzuku mnoDaaah!! Njaa mbaya.[emoji2][emoji2][emoji119][emoji119]
Mnanuka damu za watanzania wenzenu!CCM ni watu wa amani na furaha siku zote
Rudi CCM maana huku hakuna uhuni kama huo,pole sana mkuu
Niko imara kama kawaida, sitishwi na watu wachache kushirikiana na shetani.Tindo HOIIII.....
Pole sana KAMANDA...Msikate tamaa banaaa....