Uchaguzi 2020 Hatimaye Wabunge 19 wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

utakuwa na shida mahali. unaniamini mimi kivipi wakati nimeweka twit ya Mnyika. hao wa bungeni kwa akili ya kawaida tu wanaaminika?unadhani wanaweza kufanya yote bila utetezi
Pole sana bwana OKwi,hakuna namna hiyo ndo CHADEMA iliyojaa wahuni na watu wenye ndimi mbili
 
Duuu inasikitikisha sanaa kama ni ya kweli. Kama ni hivyo hakuna chama cha siasa bongo ni muda wa kuachana na siasa za bongo nw nikutafuta pesa na kupambania maisha yko ninafsi
.....umechelewa KUJUA...

Karibu hapa Mandi Lumumba!!!
 
Wewe ni mwehu,mimi ni mtumishi na sinufaiki chochote na chama chochote!Ila naiunga mkono Chadema,kama unateseka ni juu yako!
Siri zote zitavuja tu sasa na magaidi wote waliokuwa wamepanga kufanya ugaidi kwenye uchaguzi sasa tutawajua na kushughulikiwa ipasavyo labda wakimbie kama Lema!
 
Leo naenda kuchoma kadi yangu ya CHADEMA na kujiunga rasmi na ACT-Wazalendo!
Chadema fukuzeni wote hao ili mjenge heshima yenu....Mnyika kashakataa kwamba hawakupeleka majina.....Ni bora Chadema ijiendeshe kwa michango kuliko kufanya ujinga wa kubariki wapuuzi kama kina mdee na bulaya.

Mdeee amekuwa mbunge zaidi ya miaka 15 lakini bado anaendekeza NJAA.
 
Hawafukuzwi Wala Nini...

Komitmenti ya milioni 3 kila mwezi SI NDOGO BUDAAA....🤣🤣
 
Siri zote zitavuja tu sasa na magaidi wote waliokuwa wamepanga kufanya ugaidi kwenye uchaguzi sasa tutawajua na kushughulikiwa ipasavyo labda wakimbie kama Lema!
Akili zako zitakuwa zina matege!Unaweza kukuta mimi nakula keki ya taifa zaidi yako halafu unashupaza shingo hapa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…