Uchaguzi 2020 Hatimaye Wabunge 19 wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

Mbuzi jike aendelee kuingia gharama lakini Beberu anamtizama kwa mbali mpaka aone mwisho wake
Huku ndani kama kumsambaratika hayo mabeberu yatamtema si muda mrefu. Stay tuned!
 
Mbuzi jike aendelee kuingia gharama lakini Beberu anamtizama kwa mbali mpaka aone mwisho wake
Beberu aliichukia ZANU PF,kawawekea VIKWAZO...je amewaondoa?!!!


Beberu anaichukia NRM,je atamuondoa M7 hapo January?!!

Kweli BEBERU ana ndevu za "OSAMA".....🤣
 
Shida ipo CCM hawana uwezo kuongoza nchi bila kupata chochote toka kwa hao wanaowaita mabeberu
Mbuzi jike kaamua kuivuruga chadema ili amfurahishe Beberu asiache kuleta misaada
 
Huku ndani kama kumsambaratika hayo mabeberu yatamtema si muda mrefu. Stay tuned!
Hakunaga kitu kama hicho angalia hata Rwanda wakimbizi wote wa kisiasa hutunzwa popote walipo hata kama chama chao kinakufa kabsa
 
Kigogo huwa hakurupuki ...ukweli umeishi...

Ila kwa kweli nmechoka sana...sina ham na wanasiasa
Pole sana. Tindo, salary slip, mmawia, G Sam, wote wako wanajipanga watoke vipi baada ya 'surprise' ya Mdee na wenzake!
 
Lisu anadai yake kama mbowe kaamua kumsaliti yeye atasonga kivyake
Tatizo lake Lissu ni kutumikia mabwana wawili (I don’t mean in a vulgar way).

Yupo busy na agenda za hakina Amsterdam bila ya kujali madhara ya sura ya chama chake mbele ya jamii; katika hizo harakati ambazo ni self-motive anaki implicate chama chake mahala pabaya waonekane watu wanaotaka kuona watu maskini waumie.

Si ajabu anafanya hayo pengine bila ya kuwashirikisha wenzake katika mikakati yake.

Mbowe and company have a duty to build public support, yeye yupo busy akishirikiana na wazushi wa Twitter kukisogeza chama mbali na wapiga kura, akitegemea nguvu ya mabeberu.

Wakujilaumu ni Lissu mwenyewe for pursuing his selfish motives, badala ya kukaa na wenzake kuangalia wanajipanga vipi.

Mbowe has put him in his place, the message is clear.
 
Nakuomba mkuu uwanzishe uzi wa kutuomba msamah majilani zako kwa kelele na matusi uliyo kua unalopa.
Mbuzi jike bado hajaomba msamaha kwa Beberu juu ya dharau za kabudi alizotoa juzi
 
Hakunaga kitu kama hicho angalia hata Rwanda wakimbizi wote wa kisiasa hutunzwa popote walipo hata kama chama chao kinakufa kabsa
Huyo anatunzwa na akina Amsterdam. Nenda kasome kuhusu ukimbizi wa Kambona utanielewa. Mabeberu huwa wanaangalia siasa za ndani zinaendaje kama hakuna wa kuunganisha wanakuacha unakuwa mkimbizi wa kawaida tu.
 
Hakuna cha mabwana wawili kwani bila wewe kwenda Dodoma na Bashite kumpiga risasi angefikaje Belgium? Bila wewe na NECCCM Tumeccm wakurugenziccm na Polisiccm kuubaka kuunajisi kuulawiti uchaguzi mkuu asingefika kwa Amsterdam, chanzo cha kila kitu ni vitendo vyako haramu vya kishamba na kishetani
 
Kwamba wasingepeleka hao wabunge kingeharibika kitu gani?
 
Bora kuwa mpagani wa siasa kuishi bila utikadi bila chama angalau utaishi kwa Amani moyoni kuliko kuwekeza Akili kwenye vyama vya siasa
.....wewe?!!
Leo hii?!!!

Ha ha ha ha TUKIWAAMBIA ninyi ni NYUMBU mnachukia...
Ona sasa unaikimbia VITA MBELE YA MKEO....

Acha kuwa MSUNGWA banaaa....🤣🤣
 
Huyo anatunzwa na akina Amsterdam. Nenda kasome kuhusu ukimbizi wa Kambona utanielewa. Mabeberu huwa wanaangalia siasa za ndani zinaendaje kama hakuna wa kuunganisha wanakuacha unakuwa mkimbizi wa kawaida tu.
Mbuzi jike juzi kamtuma kabudi awasimange Beberu na kabudi bado hajaomba msamaha
 
Wapuuzi wakubwa,yani Walikuwa wanatumbia tuandamane,tukishavunjwa miguu na viuno au kifo wao wapate kutusaliti Kama hivi.
CDM bye bye acha niwe neutral
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…