Uchaguzi 2020 Hatimaye Wabunge 19 wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

Huyo LOWASA yupo wapi?

Ndo maana nakwambia mpaka CCM watibuane, wakishaanza kua kwenye makundi hapo ndo upinzani utahema for example kipindi cha mpasuko Kikwete Lowasa akaenda upinzani, hapo ndo CHADEMA ilipumua ila other wise endeleeni tu kuvunjika kwa ajili ya ajira za watu
 
Nimesononeka sana. Kweli mwanamke ndio chanzo cha kuvurugika yote na hii ni tangu kuumbwa kwa dunia
Mimi Ndiyo maana nashindwa kuwasapoti kwa sababu hawaeleweki.
Nilisema nitakuja kushabikia upinzani Tanzania pale tu watakapojitambua ila si hawa wapinzani maandalizi..tukiwaponda tunaoneana wabaya.
 
Wale walimbwende models wa magwanda ya CHADEMA Mdee, Matiko na Bulaya hatimae wamerukia daladala kupitia dirishani kuliko kuachwa. Jana mchana kweupe wametinga kwa spika wakifuatana na kina mama wenzao kula kiapo cha utii kwa spika wakiongozwa na Halima Mdee gwiji wa kutupwa nje mjengoni kwa utovu wa nidhamu.

Yetu macho kuona nini kitatokea maana mmoja ya washika usukani pale mtaa wa ufipa kasema hajui hao kina mama viti maalum CHADEMA nani kawateua maana msimamo wa chama ni 'kumwaga mboga wote tulale njaa'[emoji23][emoji23]
 
Huyu ndiye aliyekua anazunguka na kapu zilizojaa kura feki akionyesha dunia kwamba alikamata kura za wizi, kuna watu humu waliamini maneno ya huyu mwendawazimu na kuamini kwamba kura ziliibiwa
 
Mimi Ndiyo maana nashindwa kuwasapoti kwa sababu hawaeleweki.
Nilisema nitakuja kushabikia upinzani Tanzania pale tu watakapojitambua ila si hawa wapinzani maandalizi..tukiwaponda tunaoneana wabaya.
Shida tabia haijabandikwa usoni. Unakua unamsupport mtu kumbe rohoni anakuzomea.
 
Shida tabia haijabandikwa usoni. Unakua unamsupport mtu kumbe rohoni anakuzomea
Mbona wanaonekana tu
Wanasiasa wote ni wachumia tumbo dada yangu,wewe unaumiza kichwa Mara ulipuliwe na mabomu wenzio wanatafuta kushibisha matumbo..ajira hiyo.

Tofauti ya CCM na CDM ni kwamba mmoja ameshika dola mwingine hajashika
Ila nje na hapo ni walewale tu.

Nyie endeleeni kuwaamini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu sahihi kabisa sina uhakika kama chama kilikosa wenye hekima wa kuwashauri mapema ama walipuuza kwa maslahi yao.
 
Saivi siamini tena mwanasiasa tena. Nitabaki kua mpendea mtazamaji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
never ever trust a woman ktk vita.........imekwisha hiyoooo.....
 
Saivi siamini tena mwanasiasa tena. Nitabaki kua mpendea mtazamaji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mi naonaga tu mnavyohangaika nao humu[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ah wacha bwana dada wa info[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787]

Akina mbowe tu walimchukua Lowasa wakamsafisha,hilo tu lilitosha kuwaonyesha walivyo.
Lakini watu hamuoni[emoji1787]
 
Mkuu sahihi kabisa sina uhakika kama chama kilikosa wenye hekima wa kuwashauri mapema ama walipuuza kwa maslahi yao.
Chama kiliheshimika na Kada mbalimbali za kijamii kwa uchache...Kanisa, Waalimu Ngos, wazee nk. Lakini Mbowe na washirika wake wachache Lowassa akawaingiza kingi hoja ya ufisadi ikafa sera ya maendeleo kwa watanzania nayo ikafa.
CHADEMA ilionekana mtetezi wa wanyonge ikageuka ikawa sehemu ya ufisadi.
 
Watu tunaandika tu humu ila kiukweli majibu mengine hupatikani wakati wa tukio au kadhia flan acheni tuendelee kuandika kila mtu ana akili yake.
 
Kama kuna jambo sintolisahau ni kauli za Lissu, mgombea Urais kupitia CHADEMA, namkuu Uchaguzi wa mwaka huu utakuwa wa kihistoria Tanzania.

Hakika umekuwa wa kihistoria kwa matukio yafuatayo;

√ Lissu alidai ama zangu ama zake (Magufuli) imekuwa hivyo;

√ Lissu alidai akishindwa wafuasi wake waingie barabarani, lakini haikuwa hivyo, pamoja na jopo la wajumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA kukusanyika Dsm kuanzisha maandamano yasiyo na kikomo;

√ Wagombea walioshindwa kwenye sanduku la kura kukimbia nchi ati wanatishiwa maisha yao wakati siku 90 za kampeni walimaliza kwa usalama? Yawezekana walitishiwa maisha yao na wale waliowadanganya kuwa wangeshinda uchaguzi na kupewa chochote!!

√ Kubwa zaidi ni pale viongozi wa CHADEMA walipotoa tamko la kutokuteua wabunge wa viti maalumu badala yake wakateua wale walioshindwa kwenye sanduku la kura.

Najiuliza kama hao walikataliwa na wapiga kura wanaenda bungeni kumwakilisha nani?

Au ndio mpango wa M/kiti kupata Ruzuku na michango ya hao wabunge wa viti maalumu (1m/- kila mwezi kwa kila mbunge si haba)!
 
Achana kabisa na mtu mwenye imani kwa mtu/kitu fulani [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…