Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Wanasiasa tofauti Yao ni majina tu na nembo za vyamaAchana kabisa na mtu mwenye imani kwa mtu/kitu fulani [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Hili limejidhihirisha. Labda kama wamekua blackmailed. Maana uhai ni muhimu zaidiWanasiasa tofauti Yao ni majina tu na nembo za vyama
Diehard, exremely oppurtunistic, wouldn’t care a hoot about your opinion,feminist, stingy ( of course a Pare!), would go against the grain for personal gain.
That Halima, and she has proven it.
Msaliti mkubwa yuleHalima sasa tayari amekuwa mbunge na kaapishwa leo.
Tena amekuwa mbunge aliye chaguliwa na chama chake CHADEMA.
Wakati wa kampeni, mnakumbuka na mimi kampeni yanu kule jimbo la Kawe lililosema. HALIMA MUST GO!
Lakini Halima is a diehard, she wont go!
The lady’s not for turning- kama alivosema The Iron Lady, mama Thatcher, mwaka 1980.
Actually ame rebound back!
Talk of political fortunes!
Halima hana jimbo, kama ilivyokuwa Kawe.
Yuko huru kuandamana sasa kwa ajili ya itikadi ya chama chake.
Tatizo mmewekeza sana akili yenu katika kuandamana.Kuandamana kunaendana na uharibifu wa mali za watu wengine wasioandamana.Badilikeni watanzania hiyo ni mikakati iliyoletwa na wazungu kutugawa na kueneza chuki.Halima sasa tayari amekuwa mbunge na kaapishwa leo.
Tena amekuwa mbunge aliye chaguliwa na chama chake CHADEMA.
Wakati wa kampeni, mnakumbuka na mimi kampeni yanu kule jimbo la Kawe lililosema. HALIMA MUST GO!
Lakini Halima is a diehard, she wont go!
The lady’s not for turning- kama alivosema The Iron Lady, mama Thatcher, mwaka 1980.
Actually ame rebound back!
Talk of political fortunes!
Halima hana jimbo, kama ilivyokuwa Kawe.
Yuko huru kuandamana sasa kwa ajili ya itikadi ya chama chake.
Hawa fukuza wote kwani wakihamia CCM kuna shida gani si wanajitokeza wengine, CDM msipofukuza hawa hicho kitakuwa sio chama taasisi ila kundi la wahuni kila mtu kambale, lazima CDM waje watoe msimamo tena Mbowe ndio aongee maana huyu nae hachelewi kufanya biasharaMamaee Sasa Lissu sijui yuko wapi
Hawa ndio wanawake wa shoka[emoji23] Na mkiwafukuza wanahamia Chama Dola.
Sahihi Mkuu yaani huu ndio ulikuwa mwanzo wa chama kufa maana wenye kuona mbali, mapema tuliliona hili huwezi amin Mkuu baada ya hili jambo nilibadili mtazamo wangu kabisaa sikuwa na amin tena hawa jamaa hata kidogo.Chama kiliheshimika na Kada mbalimbali za kijamii kwa uchache...Kanisa, Waalimu Ngos, wazee nk. Lakini Mbowe na washirika wake wachache Lowassa akawaingiza kingi hoja ya ufisadi ikafa sera ya maendeleo kwa watanzania nayo ikafa.
Chadema ilionekana mtetezi wa wanyonge ikageuka ikawa sehemu ya ufisadi.
Ila Chadema hii ndio demokrasia kweli ,kwani haina wanawake wengine zaidi ya hao hao wa kila mwaka? Chadema badilikeni bana huu ni udikteta uchwara, tulitarajia sehemu kubwa ya walioteuliwa ni wabunge vijana wapya na naamini wapo wenye uwezo zaidi huku mikoani.Na kwa wale mliokuwa mnamkejeli yule dada mbunge wa Nkasi sasa kiko wapi,ONENI HAYAWabunge Viti Maalum kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wameanza mchakato wa kusajiliwa Jijini Dodoma.
Majina yao yamewasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA
ORODHA YA WABUNGE WA VITI MAALUM CHADEMA 2020.
1. Halima Mdee
2. Grace Tendega
3. Ester Matiko
4. Cecilia Pareso
5. Ester Bulaya
6. Agnesta Kaiza
7. Nusrat Hanje
8. Jesca Kishoa
9. Hawa Mwaifunga
10. Tunza Malapo
11. Felister Njau
12. Naghenjwa Kaboyoka
13. Sophia Mwakagenda
14. Kunti Majala
15. Stela Fiayo
16. Anatropia Theonest
17. Salome Makamba
18. Conchesta Rwamlaza
19. Asia Mohammed
HOTUBA FUPI YA HALIMA MDEE KWA NIABA YA WABUNGE WA VITI MAALUM WA CHADEMA
Mheshimiwa spika, nitazungumza kwa niaba ya wenzangu wote kwa hiyo nitazungumza peke yangu. La kwanza nikushkuru kwa amabo umepelekea kiapo kikafanyika
Pili nikishkuru chama changu cha CHADEMA kikiongozwa na Mwenyekiti wetu Freeman Mbowe kwasababu kupitia wao ndio sisi tumepata nafasi ya kukiwakilisha chama chetu ambacho kwa mujibu wa matakwa ya sheria za nchi kimekidhi vigezo vya kupata viti maalum, kwa hiyo viti hivi siyo hisani ila ni sehemu ndogo ya ushindi mkubwa ambao chama chetu kilipata.
Nikuhakikishie mheshimiwa spika na mimi unanifahamu vizuri, tumefanya kazi wote kwa kipindi cha miaka zaidi ya 10, tutafanya kazi kwa uaminifu kama Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni na kwa uadilifu mkubwa kwa viwango vilevile ambavyo tumekuwa tukivifanya.
Lakini mwisho lakini sio kwa umuhimu, tuwahakikishie vile vile watumishi wa Bunge, kuna vijana wapya hapa wameingia, sisi kama dada zao tutahakikisha wanafanya kazi bora na nzuri kwa ajili ya Taifa hili.
Zaidi tuwahakikishie wana CHADEMA nchi nzima, tutafanya kazi mliyotutuma kwa uaminifu na kwa uadilifu mkubwa sana. Baada ya kusema maneno hayo Mh Spika nirudie kukushkuru wewe, katibu wa Bunge na timu yake wewe na nikishkuru chama chetu kwa sababu kupitia
Zaidi tuwahakikishie wana CHADEMA nchi nzima, tutafanya kazi mliyotutuma kwa uaminifu na kwa uadilifu mkubwa sana, Mh Spika nikushukuru sana, wewe na chama chetu ndio tumepata fursa hii ya kuwakilisha watu wengi ambao wana imani na sisi.
SPIKA NDUGAI: Muongezeeni makofi Halima, ningependa kuchukua nafasi hii kuwapongeza wabunge wapya na kwa niaba yenu wote ningeomba tuwapigie makofi.
Kwa mujibu wa ibara ya 78, ibara ndogo ya kwanza ikisomwa na ibara ya 66, ibara ndogo ya 1(B) ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977. Vyama vya siasa vilivyoshiriki katika uchaguzi mkuu na kupata angalau asilimia 5 ya kura zote halali za wabunge vitapendekeza kwa tume ya Taifa ya uchaguzi majina ya wanawake kwa kuzingatia uwiano wa kura ambazo kila chama kimepata katika uchaguzi wa wabunge ili hao waliopendekezwa wawe wabunge wa viti maalum kupitia vyama hivyo.
Tarehe 20 Novemba 2020 nimepokea barua kutoka tume ya Taifa ya uchaguzi yenye maelezo kuwa imefanya uteuzi wa wabunge wanawake 19 wa viti maalum wa CHADEMA kwa mwaka 2020 ambao ni kama tulivyowaapisha hapa.
Mimi kama spika nawaahidi kuwapa kila aina ya ushirikiano, najua kambi yenu itakuwa ni ya wabunge wachache, wajibu mmojawapo wa spika ni kuwalinda wale walio wachache, nitajitahidi sana kuwalinda, nitajitahidi kuwapa haki, nitajitahidi kuhakikisha kwamba mnatekeleza majukumu yenu kikamilifu katika kuwatetea watanzania, kuwasemea watanzania na kufanya kila lile ambalo linawapasa katika kazi za kibunge ili muweze kufanikisha jukumu hili la kikatiba.
View attachment 1634248
View attachment 1633801
View attachment 1633976
Wabunge wa Viti Maalum (CHADEMA) wakiwa na Spika Ndugai
Suala hili lilizungumziwa na mwanaJF hapa > Suala la Viti Maalum kuna usaliti unaotaka kufanywa na wanawake wa CHADEMA
CHADEMA yakanusha kupeleka majina > John Mnyika: Hatujateua majina ya wabunge Viti Maalum, tunafuatilia Ofisi ya Spika na tukithibitisha hujuma au usaliti hatutasita kuchukua hatua
Siasa ipo sema hakuna chama cha upinzani Tanzania,wote ni wachumia tumbo hah hah chezea mjengoni weweHakuna siasa Tanzania.
Narudia Tena. Hakuna siasa Tanzania [emoji849][emoji706][emoji706][emoji706][emoji57]
Nimekua mwanachama wa Chadema since 2009 nikiwa kijana mdogo, kwa kiwango kikubwa sana nimeshiriki kuwenye mchakato wa M4C mpaka uzinduzi tulifanyia pale Serena Hotel na Mbowe akiwa mgeni rasmi.Kuna dalili zote Mkuu ulikuwa mfuasi wa Antipasu na si mwanachama halali Chadema. Mwanachadema halali anafikiria mapana ya kuimarisha nchi ya Tanzania achana na wale waliotunga Ilani ya uchaguzi ya mwaka huu!
Halima kanikatisha tamaa sana, tumempigania Makongo mno na hivi ndivyo anavyotulipa?Nenda kaichome TU MKUU....kwani NI yako....ila KWANGU NITABAKI KUWA MWANACHAMA MTIIFU WA CHADEMA,MAANA TOKA BOB MAKANI,MPAKA LEO MNYIKA CDM IKO MOYONI KWANGU....MILIMA NA MABONDE TULOPITIA HILI SI KITU...CDM FOR LIFE
Ni afadhali niuliwe kwa kuchemshwa kwenye pipa la lami kuliko kujiunga na hao mashetani, si tu kua naichukia CCM lakini nawachukia na wanaCCM with passion.Unga juhudi...jiunge na CCM
Wamefanya maamuzi wakiwa na akili timamu kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hili limejidhihirisha. Labda kama wamekua blackmailed. Maana uhai ni muhimu zaidi
yote hayo wanafanya kwa maslahi ya nani? kuna mtu aliwatuma? tunakolekea watu wataacha kupiga kuraKina Mdee wanapigwa,kuvunjwa miguu, kulala segerea 'wanaibiwa kura' wakiomba wafuasi wao wawasupport maandamano wanaishia kupost mitandaoni. They have families to feed too na siasa ndio inawapa tonge. Wanahaki ya kujongea mjengoni.
Alafu nikuambie kitu Minyoo, sio wote tunao furahia hili swala ni wana CCM, hapana.
Wengine hatuna vyama, hii ni kutokana kushindwa kuelewa tuende wapi.
Yanayo fanywa na CCM (baadhi) hatuyapendi, lakini hata kwa hao wanaojiita wapinzani hatupati kile tukitakacho.
Binafs mimi naangalia harakati zangu zinaendaje, hayo maswala ya siasa nawaachia wenyewe wana siasa.
Ninacho waomba mimi wailinde nchi na maadui zetu, Kiufupi nataka nife bila kuiona vita, hilo tu.
Hayo maswala sijui ajira, kila mtu apambane na hali yake.