Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
mimi ni katibu wa JF.Mangi bado tu ujapata hata ukatibu kata😂😂😂
Kwa hali hii mwananchi gan atakaekuwa tayr kuwasikiliza na kuwaelewa watanzania karbu wote wachumia tumbo ,vigeugeu na hatuna misimamo tunaangalia sana maslai kuliko kuliko haki na ukwel .
Kwani nyie sio wananchi au nanyie ndio wale wale mtandaoni?twende mbele turudi nyuma, ili kuikabli vzr CCM kidemokrasia ni lazima nguvu ya wananchi ihusike...
chdema wao kama wao kuitoa madarakano CCM awawezi pasipo wananchi kushiriki....
Hivi ana watoto wangapi?Mbowe yupo busy na maisha yake.. lissu yupo ubelgiji anakula bata.. yaani halima mdee ateswe,ashindwe kusomesha watoto wake kwa ajili ya mtu aliye ubelgiji.. halima yupo sahihi watu wanafungwa kina lissu kazi kuandika mtandaoni kudadeki chama la kipuuzi
Sio kwa njia hii ya kuteuliwa na NEC. Kuapishwa kwenye tent. Hamna anaedanganyika. Ni kama hakuna aliyeamini kuwa Cecil ni Mbunge wa CHADEMA aliporudishwa na Spika.Kuapa kwa akina Halima Mdee kushiriki vikao vya bunge kunakusudia pia kutuliza hasira za wafadhili kwa serikali yetu sikivu. Nadhani haikuwa rahisi hivyo akina Matiko kwenda Kuapa, maslahi ya nchi yamezingatiwa.
Lakini hata CCM na tume wamejifunza somo hapo.
Kweli! Una akili kubwa. Kwenye kura zilizopigwa wananchi hawakuchagua upinzani. Viti maalum kugeuka kuwa wapinzani ni ujinga pekee unaopatikana TanzaniaKuapa kwa akina Halima Mdee kushiriki vikao vya bunge kunakusudia pia kutuliza hasira za wafadhili kwa serikali yetu sikivu. Nadhani haikuwa rahisi hivyo akina Matiko kwenda Kuapa, maslahi ya nchi yamezingatiwa.
Lakini hata CCM na tume wamejifunza somo hapo.
Wapo huru ila wasiikosoe serikali iliyowagawia viti maalumHongera sana kwa wapiganaji wakubwa wa Chadema walioteuliwa kama wabunge wa viti maalum. Nina uhakika vita huwa vinapigana ndani sio nje...
Ni sikivu kwa Nani?kutuliza hasira za wafadhili kwa serikali yetu sikivu.
yaani nyie mkimbilie ulaya na watoto wenu kwenye maisha mazuri,halafu sisi mtukataze tusifanye kazi tuteseke na watoto wetu tufe njaa??hata ungekuwa wewe ungekwenda bungeniNa walio mgeuka, wamekikeketa chama bila ganzi yaani...🙌🙌
Awaachie Chama chake🤔? Tengenezeni chama chenu kitakachowavusha mnakotaka kwenda.Mbowe asepe TU,atuachie CHAMA chetu......WAPO NA WATAENDELEA KUWEPO WATAKAOTUVUSHA...
Uko sahihi mtakatifu Anne hawajajiendea wenyewe sababu kiuhalisia Mwanamke hamkubali aliyeshindwa daima utampa kama yote but ukiteleza wala haoni soni kweupeeee ktk hilo sishangai usaliti Mwanamke kaumbiwa.Mnawaonea bure hao wanawake.
Hivi mnadhani wamejiendea tu wenyewe?[emoji23][emoji23][emoji23]
Mmeanza kutafuta sababu za kuhalalisha support yenu kwao, eti wamelazimishwa🤔?Maumivu waliyo nayo ni makubwa sana. HAWAKUWA NA JINSI
Wameumizwa kimwili,kiakili na kifedha.
Kuna mmoja aliambiwa ataozea jela njia pekee ni kukubali tu
Hizo nafasi zingekuwa za kina Mbowe na Zitto, utadhani wangeziacha?Uko sahihi mtakatifu Anne,,, hawajajiendea wenyewe.....sababu KIUHALISIA....mwanamke hamkubali alieshindwa daima....utampa kama yote.....but ukiteleza.....wala haoni soni......kweupeeee.......ktk hilo sishangai.......usaliti mwanamke kaumbiwa....