Uchaguzi 2020 Hatimaye Wabunge 19 wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

Uchaguzi 2020 Hatimaye Wabunge 19 wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

Kwa hali hii mwananchi gan atakaekuwa tayr kuwasikiliza na kuwaelewa watanzania karbu wote wachumia tumbo ,vigeugeu na hatuna misimamo tunaangalia sana maslai kuliko kuliko haki na ukwel .
twende mbele turudi nyuma, ili kuikabli vzr CCM kidemokrasia ni lazima nguvu ya wananchi ihusike...
chdema wao kama wao kuitoa madarakano CCM awawezi pasipo wananchi kushiriki....
Kwani nyie sio wananchi au nanyie ndio wale wale mtandaoni?

mnataka watu wa andamane kwa chama gani? wenyewe tu wamekimbia na wengine ndio hao.
 
Duu hii kali ya mwaka, leo hii Halima Mdee amekuwa Mwanasiasa shujaa machoni mwa ma-CCM?? kulikoni na kuna nini chini ya kapeti??
 
Maumivu waliyo nayo ni makubwa sana. HAWAKUWA NA JINSI

Wameumizwa kimwili,kiakili na kifedha.
Kuna mmoja aliambiwa ataozea jela njia pekee ni kukubali tu
 
Mbowe yupo busy na maisha yake.. lissu yupo ubelgiji anakula bata.. yaani halima mdee ateswe,ashindwe kusomesha watoto wake kwa ajili ya mtu aliye ubelgiji.. halima yupo sahihi watu wanafungwa kina lissu kazi kuandika mtandaoni kudadeki chama la kipuuzi
Hivi ana watoto wangapi?
 
Ana kale kaasili ka watu wa kaskazini, ni mama mpiga madili hakubali pesa impite kirahisi, pesa mbele mengine badaye.
 
Tanzania kama nchi inaelekea kupata ushindi siku baada ya siku,maadui wa nje na ndani ya nchi wanapunguzwa nguvu kwa hesabu ndogo sana.
sisi kama watanzania tunazidi kumshukuru Mungu kwa ushindi wa kishindo.
 
Kuapa kwa akina Halima Mdee kushiriki vikao vya bunge kunakusudia pia kutuliza hasira za wafadhili kwa serikali yetu sikivu. Nadhani haikuwa rahisi hivyo akina Matiko kwenda Kuapa, maslahi ya nchi yamezingatiwa.

Lakini hata CCM na tume wamejifunza somo hapo.
Sio kwa njia hii ya kuteuliwa na NEC. Kuapishwa kwenye tent. Hamna anaedanganyika. Ni kama hakuna aliyeamini kuwa Cecil ni Mbunge wa CHADEMA aliporudishwa na Spika.

Mimi ningekuwa CCM ningeingia hofu maana kwa mara nyingine inaonekana kuwa Wabunge wa upinzani wanathaminiwa kuliko wafia chama.

Amandla...
 
Kuapa kwa akina Halima Mdee kushiriki vikao vya bunge kunakusudia pia kutuliza hasira za wafadhili kwa serikali yetu sikivu. Nadhani haikuwa rahisi hivyo akina Matiko kwenda Kuapa, maslahi ya nchi yamezingatiwa.

Lakini hata CCM na tume wamejifunza somo hapo.
Kweli! Una akili kubwa. Kwenye kura zilizopigwa wananchi hawakuchagua upinzani. Viti maalum kugeuka kuwa wapinzani ni ujinga pekee unaopatikana Tanzania
 
Mbali na njaa zao...

Ila wanawake si viumbe vya kuwaamini...

Wameangamia watakao mfanya mwanamke kuwa kiongozi wao.

Mwanamke hisia, mwanaume akili.
 
Hongera sana kwa wapiganaji wakubwa wa Chadema walioteuliwa kama wabunge wa viti maalum. Nina uhakika vita huwa vinapigana ndani sio nje...
Wapo huru ila wasiikosoe serikali iliyowagawia viti maalum
 
Wahuni hao, Hata wakitusaliti CHADEMA ipo mioyoni mwetu!
Aliondoka Dr Slaa watakuwa wao?!
 
Mnawaonea bure hao wanawake.
Hivi mnadhani wamejiendea tu wenyewe?[emoji23][emoji23][emoji23]
Uko sahihi mtakatifu Anne hawajajiendea wenyewe sababu kiuhalisia Mwanamke hamkubali aliyeshindwa daima utampa kama yote but ukiteleza wala haoni soni kweupeeee ktk hilo sishangai usaliti Mwanamke kaumbiwa.
 
Maumivu waliyo nayo ni makubwa sana. HAWAKUWA NA JINSI

Wameumizwa kimwili,kiakili na kifedha.
Kuna mmoja aliambiwa ataozea jela njia pekee ni kukubali tu
Mmeanza kutafuta sababu za kuhalalisha support yenu kwao, eti wamelazimishwa🤔?
 
Uko sahihi mtakatifu Anne,,, hawajajiendea wenyewe.....sababu KIUHALISIA....mwanamke hamkubali alieshindwa daima....utampa kama yote.....but ukiteleza.....wala haoni soni......kweupeeee.......ktk hilo sishangai.......usaliti mwanamke kaumbiwa....
Hizo nafasi zingekuwa za kina Mbowe na Zitto, utadhani wangeziacha?
 
CHADEMA hongereni kwa kufanya siri kubwa kupatikana Wabunge Viti Maalum kungetokea Vita ndani ya Chama Mngemsumbua Kamanda Simon Sirro

Sasa mmeanza kuwa chama cha siasa serious sababu kulikuwa kumepangwa njama za vurugu na fujo dhidi ya Mbowe iliyopangwa na wataka cheo cha uenyekiti CHADEMA

Hongera Mbowe kudhibiti makundi makorofi ndani ya CHADEMA mapenda siasa za uanaharakati na vurugu

Mchakato wote ulienda kwa siri sana makundi korofi yakiwa yanaendelea na vikao yakashtuka paaa watu wameshaapishwa Case closed
 
Back
Top Bottom