johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ukweli mtupu!yaani nyie mkimbilie ulaya na watoto wenu kwenye maisha mazuri,halafu sisi mtukataze tusifanye kazi tuteseke na watoto wetu tufe njaa??hata ungekuwa wewe ungekwenda bungeni
Hizo nafasi zingekuwa za kina mbowe na Zitto, utadhani wangeziacha?
Hao nao kesho Maalim Seif anaapishwa kama Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar, nakushauri pambania maisha yako na familia yako siasa huijui na huiwezi sana sana utahama vyama mpaka ukomeLeo naenda kuchoma kadi yangu ya CHADEMA na kujiunga rasmi na ACT-Wazalendo!
Kacheza kama Pele kwenye hili kawatoa knock out wapinzani wake ndani ya CHADEMAMbowe mtoto wa mjini. Yuko kimahesabu zaidi.
Kuna watu wamepigwa chenga ya mwili yaani hawajielewi. Yule wa Ubelgiji yuko bize kujibu maelezo ya Kabudi na Sirro, mara paah...watu wameapishwa.CHADEMA hongereni kwa kufanya siri kubwa kupatikana wWabunge Viti Maalum kungetokea Vita ndani ya Chama Mngemsumbua kamanda Simon Sirro...
Chama kilikuwa kinafuata maelekezo ya Kigogo na baada ya hapo wamejifunza maana kumbe wale mashabiki wao kule Twita na Insta ni parody zilizotengenezwa kiwahadaaa..CHADEMA hongereni kwa kufanya siri kubwa kupatikana wWabunge Viti Maalum kungetokea Vita ndani ya Chama Mngemsumbua kamanda Simon Sirro....
Nimecheka sana,Lissu akili za kiuanaharakati sana, mambo ya michongo hajuiKuna watu wamepigwa chenga ya mwili yaani hawajielewi. Yule wa ubelgiji yuko bize kujibu maelezo ya kabudi na sirro, mara paah...watu wameapishwa.
Mtoto wa kaskazini huyo anashindwaje kwenda kwa mahesabu?Mbowe mtoto wa mjini. Yuko kimahesabu zaidi.
Mchezo wote umefanyika siku ya J2 kuanzia saa nane Mpaka saa 4 usiku kila kitu kikawa tayari ikabakia kuapishwa tuIle hata Kigogo amekuja kuona TBC kama sisi
Maisha yangu na familia yangu nimeshayapambania, wala sina dhiki na sitegemei kupata chochote kutoka kwenye chama chochote! Ningekua selfish kama wewe wala nisingekua mwanachama wa chama chochote maana nina kazi nzuri (Nimeajiriwa na moja kati ya banki kubwa kwa muda wa miaka 16) na nina vibiashara vinavyoniingizia kipato cha kutosha tu. Pamoja na hayo, nimebahatika kua na elimu nzuri tu niliyoipata ndani na nje ya nchi pasipo mkopo wa HESLB.hao nao kesho maalim seif anaapishwa kama makamu wa kwanza wa rais zanzibar, nakushauri pambania maisha yako na familia yako siasa huijui na huiwezi sana sana utahama vyama mpaka ukome
Lisu anajifanya mjanja international politics wenzie wajanja kwenye Local politics ambazo ndizo zina matter wamembwaga chenga ya mwili ya nguvu na magenge yake yaliyokuwa yamejipanga kumpora Mbowe uongoziKuna watu wamepigwa chenga ya mwili yaani hawajielewi. Yule wa ubelgiji yuko bize kujibu maelezo ya kabudi na sirro, mara paah...watu wameapishwa.
Sasa watu kama Mnyika sijui yuko kwenye hali gani, kwa sababu ni miongoni mwa waliopigwa chenga maana amekalia hoja kwamba yeye kama KM hajapeleka majina NEC, mara ghafla tunasikia watu wanaapishwa. Hii kuna watu watakaa pembeni kama alivyofanya Dr mihogo.Kuna watu wamepigwa chenga ya mwili yaani hawajielewi. Yule wa ubelgiji yuko bize kujibu maelezo ya kabudi na sirro, mara paah...watu wameapishwa.
Basi kama unashindwa kuchambua na kutathimini Siasa za Tanzania na unaona bora kuhamia chama kingine ukidhani kunanafuu hiyo elimu uliyopata ndani na nje haijakusaidia lolote, endelea kuhesabia watu hela zao.Maisha yangu na familia yangu nimeshayapambania, wala sina dhiki na sitegemei kupata chochote kutoka kwenye chama chochote! Ningekua selfish kama wewe wala nisingekua mwanachama wa chama chochote maana nina kazi nzuri (Nimeajiriwa na moja kati ya banki kubwa kwa muda wa miaka 16) na nina vibiashara vinavyoniingizia kipato cha kutosha tu. Pamoja na hayo, nimebahatika kua na elimu nzuri tu niliyoipata ndani na nje ya nchi pasipo mkopo wa HESLB.
Ha ha ha yajayo yanafurahisha!Hii mbona siyo kali? Huko mbeleni itashangaza zaidi
Mnyika Team Lissu walikuwa wamepanga kumpindua Mbowe na Chama wamkabidhi Tundu Lissu ilikuwa itokee vita na vurugu kubwa ambapo wapambe wa Lissu walikuwa wakipokea pesa toka kwa Amsterdam ili wapore chama kiwe chini ya Amsterdam moja kwa moja kupitia Tundu LissuSasa watu kama Mnyika sijui yuko kwenye hali gani, kwa sababu ni miongoni mwa waliopigwa chenga maana amekalia hoja kwamba yeye kama KM hajapeleka majina NEC, mara ghafla tunasikia watu wanaapishwa. Hii kuna watu watakaa pembeni kama alivyofanya Dr mihogo.