Uchaguzi 2020 Hatimaye Wabunge 19 wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

Leo naenda kuchoma kadi yangu ya CHADEMA na kujiunga rasmi na ACT-Wazalendo!
Hao nao kesho Maalim Seif anaapishwa kama Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar, nakushauri pambania maisha yako na familia yako siasa huijui na huiwezi sana sana utahama vyama mpaka ukome
 
CHADEMA hongereni kwa kufanya siri kubwa kupatikana wWabunge Viti Maalum kungetokea Vita ndani ya Chama Mngemsumbua kamanda Simon Sirro....
Chama kilikuwa kinafuata maelekezo ya Kigogo na baada ya hapo wamejifunza maana kumbe wale mashabiki wao kule Twita na Insta ni parody zilizotengenezwa kiwahadaaa..

Sasa wafanye siasa safi
 
Kuna watu wamepigwa chenga ya mwili yaani hawajielewi. Yule wa ubelgiji yuko bize kujibu maelezo ya kabudi na sirro, mara paah...watu wameapishwa.
Nimecheka sana,Lissu akili za kiuanaharakati sana, mambo ya michongo hajui
 
hao nao kesho maalim seif anaapishwa kama makamu wa kwanza wa rais zanzibar, nakushauri pambania maisha yako na familia yako siasa huijui na huiwezi sana sana utahama vyama mpaka ukome
Maisha yangu na familia yangu nimeshayapambania, wala sina dhiki na sitegemei kupata chochote kutoka kwenye chama chochote! Ningekua selfish kama wewe wala nisingekua mwanachama wa chama chochote maana nina kazi nzuri (Nimeajiriwa na moja kati ya banki kubwa kwa muda wa miaka 16) na nina vibiashara vinavyoniingizia kipato cha kutosha tu. Pamoja na hayo, nimebahatika kua na elimu nzuri tu niliyoipata ndani na nje ya nchi pasipo mkopo wa HESLB.
 
Kuna watu wamepigwa chenga ya mwili yaani hawajielewi. Yule wa ubelgiji yuko bize kujibu maelezo ya kabudi na sirro, mara paah...watu wameapishwa.
Lisu anajifanya mjanja international politics wenzie wajanja kwenye Local politics ambazo ndizo zina matter wamembwaga chenga ya mwili ya nguvu na magenge yake yaliyokuwa yamejipanga kumpora Mbowe uongozi
 
Kuna watu wamepigwa chenga ya mwili yaani hawajielewi. Yule wa ubelgiji yuko bize kujibu maelezo ya kabudi na sirro, mara paah...watu wameapishwa.
Sasa watu kama Mnyika sijui yuko kwenye hali gani, kwa sababu ni miongoni mwa waliopigwa chenga maana amekalia hoja kwamba yeye kama KM hajapeleka majina NEC, mara ghafla tunasikia watu wanaapishwa. Hii kuna watu watakaa pembeni kama alivyofanya Dr mihogo.
 
Maisha yangu na familia yangu nimeshayapambania, wala sina dhiki na sitegemei kupata chochote kutoka kwenye chama chochote! Ningekua selfish kama wewe wala nisingekua mwanachama wa chama chochote maana nina kazi nzuri (Nimeajiriwa na moja kati ya banki kubwa kwa muda wa miaka 16) na nina vibiashara vinavyoniingizia kipato cha kutosha tu. Pamoja na hayo, nimebahatika kua na elimu nzuri tu niliyoipata ndani na nje ya nchi pasipo mkopo wa HESLB.
Basi kama unashindwa kuchambua na kutathimini Siasa za Tanzania na unaona bora kuhamia chama kingine ukidhani kunanafuu hiyo elimu uliyopata ndani na nje haijakusaidia lolote, endelea kuhesabia watu hela zao.
 
Sasa watu kama Mnyika sijui yuko kwenye hali gani, kwa sababu ni miongoni mwa waliopigwa chenga maana amekalia hoja kwamba yeye kama KM hajapeleka majina NEC, mara ghafla tunasikia watu wanaapishwa. Hii kuna watu watakaa pembeni kama alivyofanya Dr mihogo.
Mnyika Team Lissu walikuwa wamepanga kumpindua Mbowe na Chama wamkabidhi Tundu Lissu ilikuwa itokee vita na vurugu kubwa ambapo wapambe wa Lissu walikuwa wakipokea pesa toka kwa Amsterdam ili wapore chama kiwe chini ya Amsterdam moja kwa moja kupitia Tundu Lissu

Jaribio la kupora CHADEMA na kuiweka chini ya Amsterdam limeshindikana
 
Back
Top Bottom