Laface77
JF-Expert Member
- Jul 9, 2008
- 2,117
- 2,845
Mpaka pale watakapochukua ndio nitaamini na kufanya maamuzi!ACT wanachukua umakamu wa rais kule Zanzibar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka pale watakapochukua ndio nitaamini na kufanya maamuzi!ACT wanachukua umakamu wa rais kule Zanzibar
Nani tena huyo?Sex less wamemkumbuka jaman😂😂😂😁😁👴🏽👴🏽
CCM hatutaki watu wasio na misimamoKama ni kweli mimi nitajiunga ccm kabisa!
Kina jingalao johnthebaptist Jane Lowassa Bia yetu mama D na wengineo naombeni mnipokee
Na znz wakijiunga mseto unahamia wapLeo naenda kuchoma kadi yangu ya CHADEMA na kujiunga rasmi na ACT-Wazalendo!
Halima alitweet tarehe 8 November.mimi nipo huku mkuu
Uchaguzi 2020 - John Mnyika: Hatujateua majina ya wabunge Viti Maalum. Tunafuatilia Ofisi ya Spika na tukithibitisha hujuma au usaliti hatutasita kuchukua hatua
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema, chama hicho hakijateua majina ya wabunge wa viti maalum “ niliandika barua NEC kuwajulisha. Tunafuatilia yanayojiri Ofisi ya Spika wa Bunge na tukithibitisha hujuma au usaliti hatutasita kuchukua hatua.” ---UPDATE--- Akihojiwa na shirika la...www.jamiiforums.com
Hakuna siasa Tanzania......
Narudia Tena. Hakuna siasa Tanzania [emoji849][emoji706][emoji706][emoji706][emoji57]
ndiyo uone jinsi alivyo mnafiki.Halima alitweet tarehe 8 November.
wakati leo ni tarehe 24 November.
Chama chochote ila sio kwa hao mashetani wa CCM!Na znz wakijiunga mseto unahamia wap
Majina yamepelekwa na BAWACHAMbona nimeona Mnyika anasema hajapeleka majina
Sijui kwanini huyu dada hawajamuweka?Upendo peneza hayumo??????!daaah hatari sana.
Hao wabunge mnaowanadi hapa wana msimamo?Ccm hatutaki watu wasio na misimamo
Hii nimeipenda sanaaaaana ndiyo ukomavu Erythrocyte Upinzani si lazima wengi hata mmoja anatosha. Wasimsahau pia na yule wa GeitaWabunge Viti Maalum kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wameanza mchakato wa kusajiliwa Jijini Dodoma.
Majina yao yamewasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA
Wabunge wa viti Maalum CHADEMA wanaoapishwa ni:
1. Halima Mdee
2. Grace Tendeka
3. Ester Matiko
4. Kunti Yusuf
5. Salome Makamba
6. Anatropia Theonest
7. Hawa Mwaifunga
8. Tunza Malapo
9. Nusrat Hanje
10. Agnesta Lambat
11. Sophia Mwakagenda
12. Cecilia Pareso
13. Jesca Kishoa
14. Ester Bulaya
15. Naghenjwa Kaboyoka
16.
17.
18.
19.
HOTUBA FUPI YA HALIMA MDEE KWA NIABA YA WABUNGE WA VITI MAALUM WA CHADEMA
Nikishukuru chama changu cha CHADEMA kikiongozwa na Mwenyekiti wetu Freeman Mbowe ambao kupitia wao sisi tumepata nafasi ya kukiwakilisha chama chetu, viti hivi siyo hisani ila ni sehemu ya ushindi mkubwa ambao chama chetu kilipata
"Mh. Spika tumefanya kazi wote kwa miaka zaidi ya 10, tutafanya kazi kwa uaminifu kama Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni kwa uadilifu mkubwa, tuna vijana wapya sisi kama dada zao tutahakikisha wanafanya kazi nzuri kwa ajili ya Taifa hili
Zaidi tuwahakikishie wana CHADEMA nchi nzima, tutafanya kazi mliyotutuma kwa uaminifu na kwa uadilifu mkubwa sana, Mh Spika nikushukuru sana, wewe na chama chetu
Zaidi tuwahakikishie wana CHADEMA nchi nzima, tutafanya kazi mliyotutuma kwa uaminifu na kwa uadilifu mkubwa sana, Mh Spika nikushukuru sana, wewe na chama chetu"