Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka mapenzi ya pesa ndio nilisha yakataa , ndio maana still nipo single .Na ubakhili wako utaweza kwel kumiliki chuma hiyo😂😂
Hakuwepo kwenye kikao cha mwisho huyo 😅😅
Utakuwa single milele mangi ujue😂😂Kaka mapenzi ya pesa ndio nilisha yakataa , ndio maana still nipo single .
😂Kuna muda Huwa unatupiga porojoKwahiyo kpnz siku zote huwa naropoka😂😂
Ex harudiwi ila analiwa pesa 😅😅😅😅😅😅Hata mimi sikuwepo
Mlikubalianaje kuhusu misimamo? 😂
Etugrul BeyEx harudiwi ila analiwa pesa 😅😅😅😅😅😅
Hapo penye kuliwa pesa yake ndio unageuka kuwa kitoeoEx harudiwi ila analiwa pesa 😅😅😅😅😅😅
😅😅😅😅Hapo penye kuliwa pesa yake ndio unageuka kuwa kitoeo