Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usishangae ndugu, Nape alienda kukagua vyoo.Hivi karibuni Nape si alikuwa hapo chuoni akikagua matatizo mbali mbali, tatizo hili hakuliona? Hizi siasa za kuiiga CDM sijui zitawafkisha wapi?
maji2 mengne bwana,yan wenzio 2nadiscuss ishu za maana hapa,we unawaza kufanya uzinzi 2.Hayo ndio madhara yakufuata mawazo ya watu wa MAGWANDA, chuo kimefungwa, hela hamna sasa hapo sijui mtaishije . Ngoja mie nitafute msichana mrembo wa kuwa nae leo kwani najua hivi sasa wanapatikana kwa bei cheap
Nawaonea huruma sana hao mwaka wa tatu coz walikuwa wamebakiza siku chache tu kumaliza chuo.Mdau aliyekuwa hapo ameniambia ni wote mwaka wa 1 hadi wa 3
Zito alipowambia serikali haina hela wapenda sisiemu wakaja juu na kusema ni mwongo. Kama mishahara ya watumishi wanakopa kwenye taasisi zingine, za kuwapa wanafunzi watazikopa wapi.Hivi kunanini pale dodoma si wapewe haki yao au sababu walileta fujo bungeni siku ile ya marekebisho ya katiba si unajua tena wale wenzetu wazeee wa posho walivyokua na kisasi warudisheni darasani watoto!!!
Tatizo vichwa vya waTZ haviwezi kuchanganua mambo. Wanaogopa kudai kilicho chao. Mkuu tuhamasishane kama wana-Mwanza na kwingiineko walivyoshikamana kujaribu kuung'oa ukoloni wa ndani kwa ndani.Nimesema na nimeandika tuna wakoloni weusi nchi hii, tukitaka uhuru wa kweli lazima na wao waondoke, wanawafukuza wasomi coz wanajua wakienda field watakuwa fit na watakuja kuhoji mambo mbali mbali yahusuyo taifa ikiwemo kuondolewa kwa posho zao,nyie wakoloni weusi CCM mliopo nchi hii kaeni chonjo kwani hamjui siku wala saa ambayo nguvu ya UMMA itakapokuja. Kila chenye mwanzo hakikosi kuwa na mwisho huu ndio mwanzo wa mwisho wenu kama hamfahamu