Hatimaye wanasayansi wabobezi wanena juu ya Simba S.C ya msimu wa 2016/2017.

sembo

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
4,350
Reaction score
3,451
Wanasayansi wabobezi katika chuo kimoja huko mashariki ya mbali ambacho kinaheshima kubwa sana duniani.. wameibuka na utafiti uliowashangaza wengi.. kua timu ya Simba S.C ya msimu huu ni tiba ya kila kitu.

Katika utafiti wao wamegundua mambo mengi.. Mfano;
1. Kama una stress.. Mnyama Simba ni dawa ya kuondoa stress.
2. Kama umedhoofu mwili.. Hauna haja ya kula mavyakula kibao ili urudishe afya.. Wewe anza tu kushabikia Simba S.C.
3. Kwa wale wazee wa kubet.. Simba S.C imewapa utajiri wa kutosha.. Wana manyumba, magari n.k na hii ni kutokana na kila mzigo wanaoweka.. Mnyama hawaangushi.

Baadhi ya wapenzi wa soka waliohojiwa.. walikiri Simba S.C ya msimu huu.. imebadili kila kitu katika maisha yao,.. Mfano;

Hii simba ya mwaka huu inanifanya nisahau hata hizi tumbua tumbua za magufuli yaani raha tupuuuuu!

Inanisahaulisha maumivu ya MAN UTD.

Raha inazidi kutawala

Simba hii itaniletea kitambi sasa

Simba imenipa raha hatimaye

sembo mtupeleke nasisi yebo yebo kwa mganga wenu jamani

Kuna mwingine ambae watafiti hao hawakumtaja jina lake alinena haya... "namshukuru sana Mnyama kwa kunipa utajiri kwani kila mwisho wa wiki nina uhakika wa kuingiza si chini ya milioni 3.7 kupitia kubet.

Ila kwa kila mashabiki wa soka aliokaidi ushauri aliopewa wa kuanza kumshabikia Mnyama mkali pengine kuliko wote mwituni.. Makubwa humkuta.. Mfano ni huyu ndugu yetu;
Mkuu Simba leo ikishinda nakata mkono wangu wa kushoto
Simba hiyo mechi ilishinda sasa hivi jamaa hana tena mkono [emoji20] [emoji20]

Katika kuhitimisha utafiti wao.. Wanasayansi hao wabobezi, wamewaomba wapenzi na wasio wapenzi wa soka duniani.. Kuanza kuishabikia Simba S.C haraka iwezekanavyo kwa furaha ya milele.

NOTE;
Wanasayansi hao wanadai bado wamejifungia maabara usiku na mchana wakijadili goli alilofunga Shiza Kichuya mnamo 01.10.2016.. Wanasema japo walitoa mchoro wa goli hilo.. Bado wanajiuliza iliwezekanaje.. Wanadai mambo yakienda vizuri mwakani ndo wanaweza kuja na ripoti kamili ya goli hilo.
 
Wanasayansi wabobezi katika chuo kimoja huko mashariki ya mbali ambacho kinaheshima kubwa sana duniani.. wameibuka na utafiti uliowashangaza wengi.. kua timu ya Simba S.C ya msimu huu ni tiba ya kila kitu.

Katika utafiti wao wamegundua mambo mengi.. Mfano;
1. Kama una stress.. Mnyama Simba ni dawa ya kuondoa stress.
2. Kama umedhoofu mwili.. Hauna haja ya kula mavyakula kibao ili urudishe afya.. Wewe anza tu kushabikia Simba S.C.
3. Kwa wale wazee wa kubet.. Simba S.C imewapa utajiri wa kutosha.. Wana manyumba, magari n.k na hii ni kutokana na kila mzigo wanaoweka.. Mnyama hawaangushi.

Baadhi ya wapenzi wa soka waliohojiwa.. walikiri Simba S.C ya msimu huu.. imebadili kila kitu katika maisha yao,.. Mfano;

Kuna mwingine ambae watafiti hao hawakumtaja jina lake alinena haya... "namshukuru sana Mnyama kwa kunipa utajiri kwani kila mwisho wa wiki nina uhakika wa kuingiza si chini ya milioni 3.7 kupitia kubet.

Ila kwa kila mashabiki wa soka aliokaidi ushauri aliopewa wa kuanza kumshabikia Mnyama mkali pengine kuliko wote mwituni.. Makubwa humkuta.. Mfano ni huyu ndugu yetu;

Simba hiyo mechi ilishinda sasa hivi jamaa hana tena mkono [emoji20] [emoji20]

Katika kuhitimisha utafiti wao.. Wanasayansi hao wabobezi, wamewaomba wapenzi na wasio wapenzi wa soka duniani.. Kuanza kuishabikia Simba S.C haraka iwezekanavyo kwa furaha ya milele.

NOTE;
Wanasayansi hao wanadai bado wamejifungia maabara usiku na mchana wakijadili goli alilofunga Shiza Kichuya mnamo 01.10.2016.. Wanasema japo walitoa mchoro wa goli hilo.. Bado wanajiuliza iliwezekanaje.. Wanadai mambo yakienda vizuri mwakani ndo wanaweza kuja na ripoti kamili ya goli hilo.

Heeeh....jamani, hakuna utafiti uliofanyika kubaini ni 'watu wangapi wamechanganyikiwa' kwa kuanza kusema ovyo kufuatia ushindi wa Simba kwa michezo hii ya awali???? tehtehtehtehtehteh
 
Ngoja stand twende kwa mganga wetu mapema ili tuendeleze rekodi yetu kambarage
 
Mkuu dozi tuliyowaandalia Stand, ni ya kiwango kikubwa sana.. Achana na hizi tulizowapa Mwadui au Mbeya City.. Tunataka tuondoke Shinyanga tukiwa na pointi 6 net zilizochagizwa na magoli lukuki ya kufunga.. Magoli hayo yatatoka wapi? Ni kwa wapiga debe wa stand.
 
Heeeh....jamani, hakuna utafiti uliofanyika kubaini ni 'watu wangapi wamechanganyikiwa' kwa kuanza kusema ovyo kufuatia ushindi wa Simba kwa michezo hii ya awali???? tehtehtehtehtehteh
Huo bado.. Nadhani ukiufanya wewe itapendeza sana.
 
Kweli kabsa.sasa hivi sina stress kabsa..!mnyama ananikosha 100%
 
Mkuu dozi tuliyowaandalia Stand, ni ya kiwango kikubwa sana.. Achana na hizi tulizowapa Mwadui au Mbeya City.. Tunataka tuondoke Shinyanga tukiwa na pointi 6 net zilizochagizwa na magoli lukuki ya kufunga.. Magoli hayo yatatoka wapi? Ni kwa wapiga debe wa stand.
Wewe ngoja ngosha wajipange tunaweza shuhudia maajabu
 
Mkuu Kweli Ukipenda Simba Msimu Kitu Shida au Tatizo basi Haliwezi Kukupata! Mkuu Amini Kwamba Sasahivi Mpaka Wazungu Hapa Zenji Wanafatilia Kila Mechi Ya Simba Jinsi inavyowapa Raha..
 
Wanasayansi wabobezi katika chuo kimoja huko mashariki ya mbali ambacho kinaheshima kubwa sana duniani.. wameibuka na utafiti uliowashangaza wengi.. kua timu ya Simba S.C ya msimu huu ni tiba ya kila kitu.

Katika utafiti wao wamegundua mambo mengi.. Mfano;
1. Kama una stress.. Mnyama Simba ni dawa ya kuondoa stress.
2. Kama umedhoofu mwili.. Hauna haja ya kula mavyakula kibao ili urudishe afya.. Wewe anza tu kushabikia Simba S.C.
3. Kwa wale wazee wa kubet.. Simba S.C imewapa utajiri wa kutosha.. Wana manyumba, magari n.k na hii ni kutokana na kila mzigo wanaoweka.. Mnyama hawaangushi.

Baadhi ya wapenzi wa soka waliohojiwa.. walikiri Simba S.C ya msimu huu.. imebadili kila kitu katika maisha yao,.. Mfano;

Kuna mwingine ambae watafiti hao hawakumtaja jina lake alinena haya... "namshukuru sana Mnyama kwa kunipa utajiri kwani kila mwisho wa wiki nina uhakika wa kuingiza si chini ya milioni 3.7 kupitia kubet.

Ila kwa kila mashabiki wa soka aliokaidi ushauri aliopewa wa kuanza kumshabikia Mnyama mkali pengine kuliko wote mwituni.. Makubwa humkuta.. Mfano ni huyu ndugu yetu;

Simba hiyo mechi ilishinda sasa hivi jamaa hana tena mkono [emoji20] [emoji20]

Katika kuhitimisha utafiti wao.. Wanasayansi hao wabobezi, wamewaomba wapenzi na wasio wapenzi wa soka duniani.. Kuanza kuishabikia Simba S.C haraka iwezekanavyo kwa furaha ya milele.

NOTE;
Wanasayansi hao wanadai bado wamejifungia maabara usiku na mchana wakijadili goli alilofunga Shiza Kichuya mnamo 01.10.2016.. Wanasema japo walitoa mchoro wa goli hilo.. Bado wanajiuliza iliwezekanaje.. Wanadai mambo yakienda vizuri mwakani ndo wanaweza kuja na ripoti kamili ya goli hilo.
Hakika Simba sasa inatisha kila kona ya dunia, kila anayekutana na mnyama ni kipigo tu, asichojua ni idadi ya magoli atafungwa ngapi....Haa haa haaaaaaa raha tupu.
 
Sembo njoo uendeleze uzi umepoa sanaaaaaaa![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom