Hatimaye wanasayansi wagundua tena tiba/Chanjo ya UKIMWI hivyo sasa hivi ni full kujiachia

Hatimaye wanasayansi wagundua tena tiba/Chanjo ya UKIMWI hivyo sasa hivi ni full kujiachia

KINGSLEE

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2013
Posts
830
Reaction score
1,046
1469138438549.jpg
1469138450861.jpg
 
Mzizi Mkavu, njoo usaidie hapa, hiyo chanjo haina jina?
 
Msifanye mchezo na mboo yenu ukimwi siyo ugonjwa pekee wa ngono, kuna magonjwa mengi mengine yanayoweza kuifanya mboo yenu hata ianguke
 
Msifanye mchezo na mboo yenu ukimwi siyo ugonjwa pekee wa ngono, kuna magonjwa mengi mengine yanayoweza kuifanya mboo yenu hata ianguke
Wanajamii, Lugha hii, inafaa kwa jumuia ya 'great thinkers' inayotuelimisha ktk nyanja nyingi?
(Samahani, mimi nauliza tu, Naomba nisijibiwe kwa muundo huu).
hiyo itapigwa kabang maana magonjwa ni biashara siku hizi.
labda wanazuia ukimwi alafu linakuja zaidi ya ukimwi
 
Nilidhani wameleta kinga dhidi ya ajali za anga/barabarani kumbe ukimwi! Ukimwi unauwa mtu mmoja mmoja ila ajali moja inadondoka na watu 30+ kwahiyo sioni haja ya wazungu kuumiza kichwa kutafuta dawa ya hiv!

Wakimaliza wasisahau kutupatia na kinga dhidi ya terrorist maana wakipiga tukio moja wanadondoka na watu 50+
 
Back
Top Bottom