Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu condom sio kwa ajili ya vvu tu.Kwahiyo inakuja kuharibu ajira za wengine sabab kampuni.za kondom zimeajir watu wengi sana dunian
Tofauti na kujikinga dhidi ya maambukizi kazi zingine ni zipi??? Msaada kujuaMkuu condom sio kwa ajili ya vvu tu.
Condom inakazi zaidi ya 4.
condoms zinatuka kwa uzazi wa mpango,pia zinatumika kuzuia maambukizi ya virusi vya homa ya ini,ni hayo tu.Tofauti na kujikinga dhidi ya maambukizi kazi zingine ni zipi??? Msaada kujua
Wanajamii, Lugha hii, inafaa kwa jumuia ya 'great thinkers' inayotuelimisha ktk nyanja nyingi?Msifanye mchezo na mboo yenu ukimwi siyo ugonjwa pekee wa ngono, kuna magonjwa mengi mengine yanayoweza kuifanya mboo yenu hata ianguke
hiyo itapigwa kabang maana magonjwa ni biashara siku hizi.
labda wanazuia ukimwi alafu linakuja zaidi ya ukimwi
Duh!!..Unajua hata hiyo si kazi ya kwanza ya Condom?Tofauti na kujikinga dhidi ya maambukizi kazi zingine ni zipi??? Msaada kujua
jamaniMsifanye mchezo na mboo yenu ukimwi siyo ugonjwa pekee wa ngono, kuna magonjwa mengi mengine yanayoweza kuifanya mboo yenu hata ianguke