Hatimaye Wastara apata mchumba London avishwa Pete

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
From London With Love ...!!! Star mkubwa wa filamu nchini Tanzania Wastara Juma ambaye kwasasa yupo London Uingereza amevishwa pete ya uchumba huko na mwanaume anayeonekana hapo pichani. Wastara aliweka picha kadhaa kwenye akaunti zake za mitandao ya kijamii na wengine kudhani ni filamu mpya. Star mwenzake pia Riyama Ally ambaye wapo wote huko London nae aliandika "Ama kweli Mungu akitaka kukupa haandiki barua, kila la kheri mama huu mwanzo mzuri kwako".

Baada ya kuona picha hizo haraka sana Swahiliworldplanet ilimuendea hewani Wastara akiwa huko huko London na kumuuliza kama ni movie au ni kweli, tofauti na siku zote ambapo kama ni movie Star huyo huweka kweupe lakini safari hii alionekana hana la kusema pengine kwa furaha na kuishia kujibu
kwa ufupi kwa kusema "No comment" alipododoswa tena alijibu hivyo hivyo tena "No comment".





Wastara Monalisa, Riyama Ally na Cloud ni takribani wiki tatu sasa wapo London kwa mwaliko maalum na kucheza filamu inayoitwa Ughaibuni(Abroad) ambapo tayari wameanza kuishuti. Tungependa kuwatakia kila la kheri wawili hao .
 
Kila la kheri Wastara Mungu akujalie uolewe nae kabisa.
 
Kila la kheri Wastara Mungu akujalie uolewe nae kabisa.

Mmh ila naye kafanya haraka mno , au kwa kuwa Mzungu?? Uko London si wameend hata mwezi haujaisha Mara hii kashapata mchumba na pete kavalishwa?? Mmh ngoja ninyamaze wasije kusema warumi kaanza.

Ila yasije kuwa kama ya shilole tu , kapata Mzungu Sijui club full kujishaua mitandaon kapata bwana Mzungu, mwisho wa siku kumbe Mzungu bwabwa aka kiazi, na ni maarufu sana uko marekan kama alivyo aunt bilal apa bongo. Wamewah sana kuchumbiana wangepeana mda kidogo
 
Last edited by a moderator:
Siyo Muvi hiyo ?? :typing:

Nadhani utakuwa umesoma vizur apo juu, sidhan sana japokuwa yote yanawezekana , maana had riyama kapost IG kumpongeza kwa kuvishwa pete
 
Nadhani itakuwa movie..yaani wako UK kwa wiki tatu tu na pete ya uchumba juu!

Kwa mademu wa kibongo inawezekana, wakishaona ngoz nyeupe tu au mwanaume mwenye pesa zake , hata siku hyo hyo mnafunga ndoa
 
He kashampata na yule aliyekuwa kila kukicha analazimishiwa na wadunia eti ni wake nani tena Channel Ten nadhani anafanya kazi?
 

Hahahaaa binamu labda walijuana kabla ya kwenda huko au ndo hiyo movie wanayo shoot huko.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa binamu labda walijuana kabla ya kwenda huko au ndo hiyo movie wanayo shoot huko.

ninavyojua promo hufanyika wakat movie inakaribia kutoka , sasa kam movie ndo kwanza wana shoot halaf waipe promo?? Mmh watakuwa wametishaa
 
Mi yangu masikiooo na machoo

Wastara nae kapat bonge la bwana , ngoja aende kuwaogoesha wazungu , maana akimuoa atamfanya mtumwa tu , wastara mwenyew alivyokuwa mpole , hayo mambo ya wazungu angewaachia watoto wa mujini
 
aisee, na atulie tu kama ilivyokuwa zamani maana hapa kati skendo sijui uzushi vilizidi.
Kila la kheir dada
 
Huyu mbona si mzungu full ni 0.5? Kila ka heri mama.
 
Nina wasiwasi na hilo,huko uk si ndio kwa yulee jamaa msodomaizi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…