Hatimaye Wema afilisilisiwa na mahakama

Hatimaye Wema afilisilisiwa na mahakama

Kwa hiyo huduma ilitakiwa iendeleee eti ili milion 90 iishe ishe eti
Na lile la pink liko wapi

Hata Klemente alijua ni ishu ya kupitia kwa muda tu...then aendelee na mipango yake...sidhani kama alijihesabu kuwa amewekeza mazima kwa bi mdada...so kafanya alichofanya...akapiga mzigo...kama ingechukua siku tano...mwezi au mwaka...lakini mwisho wa siku plani ilikuwa palepale...mkataba ukiisha mali yake irudi.

Si unajua za watoto wa mujini...kutengeneza CV...."aa..yule nshapiga".....(bila kujali ameingia gharama kiasi gani).

Hilo la pinki kwani nalo limetoka kwa huyohuyo Klemente...? sifahamu hilo....ila nimjuavyo Wema sio wa kutegemea ATM moja...NMB....eti siku imepoteza network basi na yeye aweke mikono kichwani....si kuna DIAMOND bank nayo ina ATM jamani.
 
Branding na kujipanga muhimu anatoa funzo kubwa Wema Abraham Sepetu.
 
Back
Top Bottom