Hatimaye Wema akubali posa ya rubani

Hatimaye Wema akubali posa ya rubani

Huyo si ndio mzuri superbug ? maana wanaume wenyewe hampendi washamba sasa huyo ana uzoefu wa kutosha
Kuoa mwanamke ambae vijana washamla saanaaa inataka moyo Sana maana walipoingia we ndio unaingia walipotapikia nyoka wao we ndio unatapikia
 
Huyo jamaa ameshakula mzigo ?..anapaswa kula mzigo kabla ya kumuoa ili ajiandae kukabiliana na atachokikuta.
 
Ila kusema ukweli magazeti yetu haya ya kiswahili kuna wakati huwa yanakosa cha kuandika,tutafakari zaidi kwanini matajiri wengi hupendelea magazeti fulani mawili ya kiingereza ya hapa nchini.
 
Watu wamefaidika sana kupitia mgongo wa huyu dada...naamini binadamu sisi ni wabayaaaaa...
 
Namtakia kila la heri ila kwa nijuavyo huyu dada yetu ana shida moja. Hawezi kupumua bila social media attention. Hata hiki hafanyi for the sake of her destiny ila ni social media influence maana amepigiwa kelele sana na watu kuwa umri umekwenda na hana ndoa yake hajatulia.

Pia kuna swala la mama yake. Mama yake wema always hajui kukeep her nose where she belongz, hapo hakutakuwa na ndoa ya heshima maana mama mke si mama mkwe wa kuchunga mdomo......

Pia history huwa inakuja kumhukumu mtu no matter atajirekebisha vipi. Najua dada yetu anajaribu kutengeneza positive image kwenye media. But ile legacy ya matendo yake ambayo tumeyashuhudia ni ngumu sana kupotea na isimuhaunt......

Na jambo la ziada, huwa simuamini mwanaume mwenzangu anaesema anakwenda kuoa hawa mabinti vichaa wa mtandaoni kwasababu kwa nijuavyo, mtu ambae amekamilika haweza kumpa kiti cha enzi mwanamke ambae amekwisha tapanya na kuiburuta hadhi na heshima yake kiasi kwamba watu wakimuona hawana cha ajabu cha kushangaa tena....

Ngoja nikanunue popcorn then nirudi kuangalia hili series jipya la swahiliflix, maana najua season finale haipo mbali sana na hii season one....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanaume unachamba kama Selemani Jafo!
 
Kuolewa jambo la kheri..mpe hongera na mwish the best...sio kumwaga sumu..what if what will be...wewe unajua kesho yako itakuwaje??.au utampata mke bikira??? mnatuchosha aliyofanya au anayofanya wema ni hayo hayo wanayofanya mabinti huku mtaani,the only problem dada wa watu yuko kwenye spotlight..basi..
 
Back
Top Bottom