Hatimaye yamekuwa: Nancy Sumari anaolewa na Lucas

Ukimkosa Mama nenda kwa Mtoto,namsubiri mtoto wao I hope atakuwa binti na huo mchanganyiko lazima katakuwa kazuri hakuna mfano.
 
Du! Luca ameamua kuoa kabisa?! nilidhani baada ya kuzaa na Nancy angerudi kwa mkewe wa ndoa? Kweli wanaume hawa ni shida, Luca kaacha mke mzuri vile na watoto mabinti wawili? Jamani kweli dunia hadaa Luca alimdanganya dada wa watu wakahama ulaya warudi bongo kumbe ndio ilikuwa nia yake aje achepuke na wabongo? Pole mwaya Jane lea wanao maisha yatasonga tu.
 
Ukimkosa Mama nenda kwa Mtoto,namsubiri mtoto wao I hope atakuwa binti na huo mchanganyiko lazima katakuwa kazuri hakuna mfano.
Yap wana kabinti kazuri kweli kweli na jina lake ni ZURI.
 
Mbona mkongwe tyr au mie hesabu zangu hazijakaa Sawa
 
hongera zake kwa kuolewa,kaonyesha njia kwa wasanii wengine pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…