Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Inamanaa ujui kama nakupenda weee jinsi ulivyoumbika duuu mi nadata nawe[emoji443] [emoji441] [emoji441]
Cc Mb Dogg
Cc Mb Dogg
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaahahahahaha hakukosea mkuu maana ni kweli sasa UKO PEKE YAKO.aliniambia niko peke yangu
Mzuri kwa sura tu bana...hana yale mambo yetu ya shehe kipooozeo a,k,a churaMtoto ni mzuri ase.
Hahahaha na kweli yuko pekee yakeHahaahahahahaha hakukosea mkuu maana ni kweli sasa UKO PEKE YAKO.
Mweee ..wewe ni globalpublishers wa JF si bureAfadhali waonae, nao wamekaa kwenye uchumba sugu Muda now
Haaaa we mwasu usinichekeshe hivi Yule mke wa Luca ana uzuri gani jamani.... Nancy kamuacha mbali kwakweli kwenye uzuri... sema ndo hivyo beauty is in the eye of the beholderDu! Luca ameamua kuoa kabisa?! nilidhani baada ya kuzaa na Nancy angerudi kwa mkewe wa ndoa? Kweli wanaume hawa ni shida, Luca kaacha mke mzuri vile na watoto mabinti wawili? Jamani kweli dunia hadaa Luca alimdanganya dada wa watu wakahama ulaya warudi bongo kumbe ndio ilikuwa nia yake aje achepuke na wabongo? Pole mwaya Jane lea wanao maisha yatasonga tu.
Kinoma, yaan majanga. Ndio type zangu hiziMtoto ni mzuri ase.
Mhindi? Mh! Walikutana wapi na ubaguzi wa wahindi![]()
Huyo ndio Lucas.
Baby ndio tufanye kuoana. Akitokea kama Lucas shauri yakolucas yupi huyo anayeoa mtoto mzuri hivyo!!!????
ndo habari ya mujini uchumba sugu mumy 😀😀😀😀Afadhali waonae, nao wamekaa kwenye uchumba sugu Muda now
Baby ndio tufanye kuoana. Akitokea kama Lucas shauri yako