Hatimaye yamekuwa: Nancy Sumari anaolewa na Lucas

Hatimaye yamekuwa: Nancy Sumari anaolewa na Lucas

Inamanaa ujui kama nakupenda weee jinsi ulivyoumbika duuu mi nadata nawe[emoji443] [emoji441] [emoji441]

Cc Mb Dogg
 
This is not in bongo only, but worldwide also. "Song anaimba mwingine, mwingine anaopoa"
 
Du! Luca ameamua kuoa kabisa?! nilidhani baada ya kuzaa na Nancy angerudi kwa mkewe wa ndoa? Kweli wanaume hawa ni shida, Luca kaacha mke mzuri vile na watoto mabinti wawili? Jamani kweli dunia hadaa Luca alimdanganya dada wa watu wakahama ulaya warudi bongo kumbe ndio ilikuwa nia yake aje achepuke na wabongo? Pole mwaya Jane lea wanao maisha yatasonga tu.
Haaaa we mwasu usinichekeshe hivi Yule mke wa Luca ana uzuri gani jamani.... Nancy kamuacha mbali kwakweli kwenye uzuri... sema ndo hivyo beauty is in the eye of the beholder

Hilo la kuwaacha watoto kina Isabel hapo sawa..... nadhani ameumia sana Yule dada
 
Screenshot+2013-03-19+at+11.22.55.png


Huyo ndio Lucas.
Mhindi? Mh! Walikutana wapi na ubaguzi wa wahindi
 
Back
Top Bottom