Hatimaye yameshatimia, Kadi za Bima NHIF hazipokelewi hospitali za Private

Ikwefi

Member
Joined
Oct 2, 2013
Posts
39
Reaction score
22
Wana bodi,baada ya kuripoti kadi ya NHIF kutopokelewa hospitali za private,hatimaye nimefanya uchunguzi wangu binafsi mbali na hospitali ya IMEC iliyopo manispaa ya Iringa,nikagundua kwamba,sio private zote hazipokei,bali ni hiyo tu moja(IMEC) ambayo hawajatoa sababu za kueleweka kwanini wameacha kuwahudumia wateja wa NHIF.
Niombe radhi kwa kusababisha taharuki kwa kutofanya research kabla ya kurusha bandiko la namna ile.
Nimalize kwa kusema,"Muungwana akivuliwa nguo,huchutama"
 
Sasa mkuu umeenda hospital moja tu na tayari umesha conclude kwamba NHIF haipokelewi private?
 
Serkali inadharau wacha zikataliwe wanaleta uhuni kwa biashara za watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…