Hatimaye yameshatimia, Kadi za Bima NHIF hazipokelewi hospitali za Private

Wana bodi, Kichwa cha habari kinajieleza Usiku wa leo nilimpeleka mwanangu hospitali ya IMEC hapa manispaa ya Iringa kupata matibabu baada ya kupatwa na homa ya ghafla.

Aisee! Nilichokutana nacho ni kwamba wamesitisha kupokea kadi za NHIF labda bima zingine. Kwa hali hii, sijui serikali inatupeleka wapi wananchi.

Huko vituo vya serikali kwenyewe huduma ni mbovu plus foleni.
Daah! Tanzania nchi yangu😭😭
watu wataenda government, ajabu yake ni kwamba hospitali za private ndizo zina shida ya wateja na wanahitaji mno NHIF, sidhani kama ni busara serikali iendelee na ujinga wa kuibiwa kwa kigezo cha kuogopa wataacha kutoa huduma. ni wao ndio wamejipunguzia wateja.
 
Hospital dogo ile ya uchochoroni...kadi ukiona aghakan wamekataa ujue yametimia
 
Wana bodi, Kichwa cha habari kinajieleza Usiku wa leo nilimpeleka mwanangu hospitali ya IMEC hapa manispaa ya Iringa kupata matibabu baada ya kupatwa na homa ya ghafla.

Aisee! Nilichokutana nacho ni kwamba wamesitisha kupokea kadi za NHIF labda bima zingine. Kwa hali hii, sijui serikali inatupeleka wapi wananchi.

Huko vituo vya serikali kwenyewe huduma ni mbovu plus foleni.
Daah! Tanzania nchi yangu[emoji24][emoji24]
Zinapokelewa.mie mtoto alilazwa toka jtatu.
 
Wana bodi, Kichwa cha habari kinajieleza Usiku wa leo nilimpeleka mwanangu hospitali ya IMEC hapa manispaa ya Iringa kupata matibabu baada ya kupatwa na homa ya ghafla.

Aisee! Nilichokutana nacho ni kwamba wamesitisha kupokea kadi za NHIF labda bima zingine. Kwa hali hii, sijui serikali inatupeleka wapi wananchi.

Huko vituo vya serikali kwenyewe huduma ni mbovu plus foleni.
Daah! Tanzania nchi yangu😭😭
Ccm mbere kwa mbereeee!!!
 
Inasikitisha sana hii ndo kizimkazi life tutapata tabu sana yaani sukari bei juuu huku napo afya imekuwa majanga tunapoelekea ni kubaya sana
ngoja kila mmoja aguswe, then ukondoo utatutoka bladifaken watanzania
 
Wana bodi, Kichwa cha habari kinajieleza Usiku wa leo nilimpeleka mwanangu hospitali ya IMEC hapa manispaa ya Iringa kupata matibabu baada ya kupatwa na homa ya ghafla.

Aisee! Nilichokutana nacho ni kwamba wamesitisha kupokea kadi za NHIF labda bima zingine. Kwa hali hii, sijui serikali inatupeleka wapi wananchi.

Huko vituo vya serikali kwenyewe huduma ni mbovu plus foleni.
Daah! Tanzania nchi yangu😭😭
Njooni Kawe, Kawe hakuna foleni na unakutana na mungu kabla ya kifo chako ila kumbuka kuja na mchango wako na hela ya maji na mafuta.
 
Wana bodi, Kichwa cha habari kinajieleza Usiku wa leo nilimpeleka mwanangu hospitali ya IMEC hapa manispaa ya Iringa kupata matibabu baada ya kupatwa na homa ya ghafla.

Aisee! Nilichokutana nacho ni kwamba wamesitisha kupokea kadi za NHIF labda bima zingine. Kwa hali hii, sijui serikali inatupeleka wapi wananchi.

Huko vituo vya serikali kwenyewe huduma ni mbovu plus foleni.
Daah! Tanzania nchi yangu😭😭
Mama anaupiga mwingi
 
Zoezi la Bima ya Afya linatakiwa kufanywa kwa weledi wa juu sana ili kupata ufanisi.

Ama sivyo, the law of un8ntended consequences itachukua nafasi, gharama zitaongezeka, coverage itapungua, na mfumo utakosa ufanisi.
 
Wana bodi, Kichwa cha habari kinajieleza Usiku wa leo nilimpeleka mwanangu hospitali ya IMEC hapa manispaa ya Iringa kupata matibabu baada ya kupatwa na homa ya ghafla.

Aisee! Nilichokutana nacho ni kwamba wamesitisha kupokea kadi za NHIF labda bima zingine. Kwa hali hii, sijui serikali inatupeleka wapi wananchi.

Huko vituo vya serikali kwenyewe huduma ni mbovu plus foleni.
Daah! Tanzania nchi yangu😭😭
Ukiona ivyo bima wamegoma kulipa madai yao
 
Sasa mkuu umeenda hospital moja tu na tayari umesha conclude kwamba NHIF haipokelewi private?
Sidhani Kama matibabu ni Kama ununuzi wa bidhaa kwamba unafanya window shopping. Shida hapo ni why haikupokelewa? Je hosptali ndio yenye shida au NHIF ndio wenye shida
 
Back
Top Bottom