Hatimaye Yanga yaporomoka mpaka nafasi ya 4

Hatimaye Yanga yaporomoka mpaka nafasi ya 4

kinje ketile

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2015
Posts
5,089
Reaction score
9,664
Baada ya kuvinjari kileleni Kwa masaa kadhaa kwenye ligi Ya VPL hatimaye Yanga yaporomoka tena mpaka nafasi ya 4, hii ni baada ya S.S.C kushinda 4G, hata hivyo pongezi kwake kocha mpya Zlatko krmpotic kwa kuwa Yanga Afrika haijawahi kugusa nafasi hiyo Kwa takribani miaka 2 nyuma.

Kongole Yanga
 
Baada ya kuvinjari kileleni Kwa masaa kadhaa kwenye ligi Ya VPL hatimaye Yanga yaporomoka tena mpaka nafasi ya 3...
Sio nafasi ya tatu, ni ya nne huko

1600626018885.png
 
Heeee kumbe Yanga hajawahi Ongoza ligi zaidi ya Siku 800 zilizopita
 
Sio
Baada ya kuvinjari kileleni Kwa masaa kadhaa kwenye ligi Ya VPL hatimaye Yanga yaporomoka tena mpaka nafasi ya 3,....hii ni baada ya S.S.C kushinda 4G ,... hata hivyo pongezi kwake kocha mpya Zlatko krmpotic kwa kuwa Yanga Afrika haijawahi kugusa nafasi hiyo Kwa takribani miaka 2 nyuma. Kongole Yanga
Sio nafasi ya tatu ni hadi ya nne
 
Yanga ni timu ya ajabu sana sijui kama wanafajam wanapitwa na simba kwa idadi ya magoli. Mechi ya juzi badala ya kuwakimbiza kagera wanacheza kama timu ya veterani timu ina mambo ya ajabu sana hii.
 
Back
Top Bottom