Hatimaye Yanga yatinga kileleni

Hatimaye Yanga yatinga kileleni

kinje ketile

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2015
Posts
5,089
Reaction score
9,664
Hatimaye Timu ya Yanga imegusa nafasi ya Kuongoza msimamo wa ligi ya VPL, jambo hili halijawahi kutokea kwa timu ya Yanga takribani miaka Miwili nyuma.

Pongezi kwa Timu ya Yanga japo lolote linaweza kutokea mzunguko wa tatu wa ligi hiyo utakapokamilika. Hii ni hatua kubwa kwa Yanga inayostahili kupongezwa.
 
Yanga kaanza kufanya makubwa kwenye ligi kabla wewe hujaanza kushabikia mpira pengine kabla hata hujazaliwa.

Wakati mwingine kukaa kimya ni vizuri zaidi kuliko kujidhalilisha hivi

Sent using Jamii Forums mobile app

[/QUOTE
Duh... Hili jambo halifai kupongezwa ..? Bwashee hutaki tuwatie nguvu wapiganaji wetu wachezaji....!! Povu la nini?
 
Hatimaye Timu ya Yanga imegusa nafasi ya Kuongoza msimamo wa ligi ya VPL ,jambo hili halijawahi kutokea Kwa Timu ya Yanga takribani miaka Miwili nyuma. Pongezi Kwa Timu ya Yanga japo lolote linaweza kutokea mzunguko wa tatu WA ligi hiyo utakapokamilika.....!!! Hii ni hatua kubwa Kwa Yanga inayostahili kupongezwa....!
Acha nao waonje ladha ya kileleni kwa muda, Wenye nafasi yetu tunakuja taratibu bila pupa.
 
Yanga kaanza kufanya makubwa kwenye ligi kabla wewe hujaanza kushabikia mpira pengine kabla hata hujazaliwa.

Wakati mwingine kukaa kimya ni vizuri zaidi kuliko kujidhalilisha hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh... Hili jambo halifai kupongezwa ..? Bwashee hutaki tuwatie nguvu wapiganaji wetu wachezaji....!! Povu la nini?
 
Yanga kuwa kileleni ni sawa na kumuona tembo juu ya mtu, ataanguka tu mida si mrefu.
 
Hatimaye Timu ya Yanga imegusa nafasi ya Kuongoza msimamo wa ligi ya VPL, jambo hili halijawahi kutokea kwa timu ya Yanga takribani miaka Miwili nyuma.

Pongezi kwa Timu ya Yanga japo lolote linaweza kutokea mzunguko wa tatu wa ligi hiyo utakapokamilika. Hii ni hatua kubwa kwa Yanga inayostahili kupongezwa.
Yanga imeishatinga sana kileleni. Mara 27!
 
Mtoa mada unaonekana hujakuwa.. Endelea kumaliza ugali mama ako na akili mbuzi ulizokuwanazo..
 
Back
Top Bottom