kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Yanga kaanza kufanya makubwa kwenye ligi kabla wewe hujaanza kushabikia mpira pengine kabla hata hujazaliwa.
Wakati mwingine kukaa kimya ni vizuri zaidi kuliko kujidhalilisha hivi
Sent using Jamii Forums mobile app

[/QUOTE
Duh... Hili jambo halifai kupongezwa ..? Bwashee hutaki tuwatie nguvu wapiganaji wetu wachezaji....!! Povu la nini?
Acha nao waonje ladha ya kileleni kwa muda, Wenye nafasi yetu tunakuja taratibu bila pupa.Hatimaye Timu ya Yanga imegusa nafasi ya Kuongoza msimamo wa ligi ya VPL ,jambo hili halijawahi kutokea Kwa Timu ya Yanga takribani miaka Miwili nyuma. Pongezi Kwa Timu ya Yanga japo lolote linaweza kutokea mzunguko wa tatu WA ligi hiyo utakapokamilika.....!!! Hii ni hatua kubwa Kwa Yanga inayostahili kupongezwa....!
Duh... Hili jambo halifai kupongezwa ..? Bwashee hutaki tuwatie nguvu wapiganaji wetu wachezaji....!! Povu la nini?Yanga kaanza kufanya makubwa kwenye ligi kabla wewe hujaanza kushabikia mpira pengine kabla hata hujazaliwa.
Wakati mwingine kukaa kimya ni vizuri zaidi kuliko kujidhalilisha hivi
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora Wali Nazi Kuliko Walimwengu!!Walimwengu watu wabaya.
Duh... Hili jambo halifai kupongezwa ..? Bwashee hutaki tuwatie nguvu wapiganaji wetu wachezaji....!! Povu la nini?
Yanga imeishatinga sana kileleni. Mara 27!Hatimaye Timu ya Yanga imegusa nafasi ya Kuongoza msimamo wa ligi ya VPL, jambo hili halijawahi kutokea kwa timu ya Yanga takribani miaka Miwili nyuma.
Pongezi kwa Timu ya Yanga japo lolote linaweza kutokea mzunguko wa tatu wa ligi hiyo utakapokamilika. Hii ni hatua kubwa kwa Yanga inayostahili kupongezwa.