Sokoro waito
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 2,201
- 2,599
Hivyo ule mnuno unaonyesha anawaza kutolewa usichana wake. Duuuh.Mtoto wa miaka 17 hawezi kuwa kwenye good state of mind kwenye halaiki hilo.
Kingine hajawahi kabisa kufanya tendo la ndoa unafikiri hapo anafikiria nini ?
Mmmh. Nashindwa kushangaa hivyo hakunaga Bikira anayeolewa akawa na furaha eee?Watu wazima tu ndiyo hujiachia kwa furaha kwa sababu nao walishakuwa makungwi tayari hakuna wasichokijua kwa mwanaume.
Huyo hajui lolote zaidi ya kuwaona wanaume barabarani tu
Tatizo hana chura!Mzuri sana anastahili
Si kweli. Ni vile tu wenzio wamekuwahiKupata bikira bongo ni ngumu kuliko ngamia kupita kwenye tundu la sindano
Atampenda tuHana furaha maskini kaitunza bikra yake inakuja kutolewa na mwanaume asiyempenda!!
Dada unadhani kuna kujifanya amemshindwa mumewe hapo apewe talaka? Keshauzwa hivyoHuo weusi wao ni too much walah
Hapo binti kauzwa yani kama ng'ombe tu..naomba tu huyo bwana ampe furaha mana anaweza geuzwa mtumwa wa ngono na mahaei ikamzuia kuachana
Dada unadhani kuna kujifanya amemshindwa mumewe hapo apewe talaka? Keshauzwa hivyoHuo weusi wao ni too much walah
Hapo binti kauzwa yani kama ng'ombe tu..naomba tu huyo bwana ampe furaha mana anaweza geuzwa mtumwa wa ngono na mahaei ikamzuia kuachana
Bwana tajiri, atampeleka Ulaya kuweka ya kichina.Tatizo hana chura!
Mimi nakitokeza kukulipia mahari kama hiyohiyo iwapo utaridhia na bado uko sealed ili uwe wangu.Hana furaha maskini kaitunza bikra yake inakuja kutolewa na mwanaume asiyempenda!!
Ili tu nipate kitoweo mkuu! Nikishashiba natumia hicho kifanyio ntachopewa baada ya kumtoa Stroke,cocochanel hana ujanjaKwanini usingewtoa bure tu?
Itachukua miaka mingi sana dunia kuondokana na hii dhana kua mwanamke ni chombo cha starehe.sasa hapo mwanamke amepigwa mnada na watu wamedalalia kama zinavyouzwa mbuzi mnadani.Na wakati wote wa mnada wanaume walikua wanawaza jinsi watakavyomweka chini nakuinjoy kitu sealed sio kwasababu ana sifa zingine za ziada kama mke mwema na bora, sifa ambazo zingembeba kipindi chote cha maisha yake.sasa hapo akishatolewa iyo bikira na kuzalishwa baada ya miaka 5 thamani yake siajabu isifike ata ng"ombe wawili.Waliopiga bingo hapo ni wazazi kwa mgongo wa Mila na Desturi.
halafu Ukute Jamaa Ana MandingoAlikuwa anawaza kukatwa utepe