Hatimaye yule binti bikira wa Bei ghali aolewa rasmi

Hatimaye yule binti bikira wa Bei ghali aolewa rasmi

Uliwahi kuona wapi bikra anaolewa huku ana furaha usoni?

Hajazoea wanaume kwahiyo lazima awaze itakuaje wakienda kulala pamoja, swali itakuwaje, itakuwaje linamuwazisha huyo binti.

Mabikra hufundishwa kupenda na wanaowaoa au kuwabikiri.
 
Mtoto wa miaka 17 hawezi kuwa kwenye good state of mind kwenye halaiki hilo.

Kingine hajawahi kabisa kufanya tendo la ndoa unafikiri hapo anafikiria nini ?
Hivyo ule mnuno unaonyesha anawaza kutolewa usichana wake. Duuuh.

Haya bana ila tusihitimishe kwa kusema anawaza kutolewa usichana pekee na kuogopa halaiki ya watu.

Kutokuridhia pia yaweza kuwa chanzo cha mnuno sababu sidhani kama katika hiyo jamii yao wasichana wote wanaolewa wakiwa na 17 kwani huenda ikawa alikuwa na ndoto zake kibao wamezififisha kisa kuolewa na tajiri.
 
Watu wazima tu ndiyo hujiachia kwa furaha kwa sababu nao walishakuwa makungwi tayari hakuna wasichokijua kwa mwanaume.

Huyo hajui lolote zaidi ya kuwaona wanaume barabarani tu
Mmmh. Nashindwa kushangaa hivyo hakunaga Bikira anayeolewa akawa na furaha eee?
 
Itachukua miaka mingi sana dunia kuondokana na hii dhana kua mwanamke ni chombo cha starehe.sasa hapo mwanamke amepigwa mnada na watu wamedalalia kama zinavyouzwa mbuzi mnadani.Na wakati wote wa mnada wanaume walikua wanawaza jinsi watakavyomweka chini nakuinjoy kitu sealed sio kwasababu ana sifa zingine za ziada kama mke mwema na bora, sifa ambazo zingembeba kipindi chote cha maisha yake.sasa hapo akishatolewa iyo bikira na kuzalishwa baada ya miaka 5 thamani yake siajabu isifike ata ng"ombe wawili.Waliopiga bingo hapo ni wazazi kwa mgongo wa Mila na Desturi.
 
Huo weusi wao ni too much walah

Hapo binti kauzwa yani kama ng'ombe tu..naomba tu huyo bwana ampe furaha mana anaweza geuzwa mtumwa wa ngono na mahaei ikamzuia kuachana
Dada unadhani kuna kujifanya amemshindwa mumewe hapo apewe talaka? Keshauzwa hivyo
 
Ni wanaume wenye mentality za kimaskini na washmba pekee wanaoamini mahari ni malipo ya kumpata mke.

Mahari ni zawadi unayoitoa kwa wazazi wa binti pale wanapokukubalia kuwa sehemu ya familia yao.

Kuhusu kiwango hilo linakuwa la jamii na jamii
Itachukua miaka mingi sana dunia kuondokana na hii dhana kua mwanamke ni chombo cha starehe.sasa hapo mwanamke amepigwa mnada na watu wamedalalia kama zinavyouzwa mbuzi mnadani.Na wakati wote wa mnada wanaume walikua wanawaza jinsi watakavyomweka chini nakuinjoy kitu sealed sio kwasababu ana sifa zingine za ziada kama mke mwema na bora, sifa ambazo zingembeba kipindi chote cha maisha yake.sasa hapo akishatolewa iyo bikira na kuzalishwa baada ya miaka 5 thamani yake siajabu isifike ata ng"ombe wawili.Waliopiga bingo hapo ni wazazi kwa mgongo wa Mila na Desturi.
 
Kwenye uzuri sitaki kusema ila rangi yake Mashallah.
Kuna binadamu wana maisha ya shida maskini. Kuolewa na janaume hulipendi ni mateso yasiyovumilika. Binti wa watu kageuzwa mtaji aende akamfurahishe mbaba mtu mzima. Ukute alikua na bf wake anaempenda ila hana hela
 
Back
Top Bottom