Kim Jong Jr JF-Expert Member Joined Mar 15, 2014 Posts 11,074 Reaction score 20,608 Aug 17, 2016 #21 Mkuu umeanza kumjua fid Q lini??? Kwa sisi mashabiki zake kuntu hiyo sio issue ya kushangaza sana... Unaikumbuka ngoma ya "usinikubali haraka " fid q ft Matonya Wa kwenye ubora wake...
Mkuu umeanza kumjua fid Q lini??? Kwa sisi mashabiki zake kuntu hiyo sio issue ya kushangaza sana... Unaikumbuka ngoma ya "usinikubali haraka " fid q ft Matonya Wa kwenye ubora wake...
Gudasta JF-Expert Member Joined Jan 25, 2011 Posts 501 Reaction score 788 Aug 17, 2016 #22 Mimi kwa sasa hivi katika nyimbo za hiphop za mapenzi ninayoikubali ni hii ya Wale feat Usher, hebu tafuta time yako kidogo iangalie na uisikilize kwa makini na si mbaya ukileta mrejesho wako.
Mimi kwa sasa hivi katika nyimbo za hiphop za mapenzi ninayoikubali ni hii ya Wale feat Usher, hebu tafuta time yako kidogo iangalie na uisikilize kwa makini na si mbaya ukileta mrejesho wako.
G Guasa Ambonii JF-Expert Member Joined Aug 13, 2015 Posts 8,545 Reaction score 10,283 Aug 17, 2016 #23 Ongezeni umbo namba 8 akiwa na Daz mwalimu
Kule Kwetu JF-Expert Member Joined Jan 10, 2016 Posts 3,157 Reaction score 1,894 Aug 17, 2016 #24 Nilichopenda sanaa katika wimbo huu ni Video na nimependa pia nguo simple na asili alizotupia Ngosha.
Nilichopenda sanaa katika wimbo huu ni Video na nimependa pia nguo simple na asili alizotupia Ngosha.