Hatimaye Zitto Kabwe kuvunja ukimya, kuzungumza na Taifa kesho Jumapili

Wataalamu wa chanjo wamefanikiwa kupata chanjo ya unafiki?
 
Kuhusu gaidi FEKI Mbowe kabambikiwa kesi, Katiba mpya ila la kujitoa Serikali ya umoja sahau hilo labda kama hawana sauti kwenye hiyo Serikali haramu ya Zenj basi pia atatangaza ACT Wazalendo kujiengua.
Huyu alivyo kunguru hivi
Sijui kama atakua ana moyo huo wa kishujaa
Labda aombe poo kwa maza
Maana jamaa kwa kujipendekeza kwenye nyakati kama hizi hajambo
 

Ccm kipindi cha Magufuli, tumepambana na covid kwa maombi na Corona haipo hapa nchini. Hizo chanjo lengo lao ni kutuumiza sisi waafrika.ccm baada ya kifo cha dhalimu, corona ipo na kuchanjwa ni jambo la muhimu. Na ili kudhibitisha chanjo ni nzuri na salama, mama wa kambo amekuwa mfano. Hebu tupe utofauti wa huo unyumbu hapo.
 
Umenena vizuri sana kiongozi. Hivi ni nani aliyewapa jina la nyumbu hawa wanasaccos? Ajitokeze tumpatie tuzo!!
Magufuli anayeoza sasahivi ndiye aliwabatiza. Mfufueni apewe tuzo😅😅
 
Reactions: BAK
😂😂😂😂😂😜😂
Ni hawara ya bibi yako mzaa babu yako mwenye chupi yenye nembo ya CCM kwa nyuma ndo alitupa hilo jina la nyumbu.
 
Mazungumzo ama mazungumuzo? Hivi siku hizi haya mambo hayafundishwi tena shule ya msingi?

 
Reactions: BAK
Zitto msaliti a.k.a mzee wa fursa na chama chake kilichoanzishwa na JK pamoja na Membe, chama kinachotumika na Ccm.
 
Kuhusu gaidi FEKI Mbowe kabambikiwa kesi, Katiba mpya ila la kujitoa Serikali ya umoja sahau hilo labda kama hawana sauti kwenye hiyo Serikali haramu ya Zenj basi pia atatangaza ACT Wazalendo kujiengua.
Hilo hàpana...Kuna watu humo wanapata mkate wao, ngumu kidogo inahitaji mtu Kama Mbowe
 
Reactions: BAK
Nimependa mwenendo viongozi kambi upinzani Mbatia Nccr na Lipumba CUF wameongea vema suala la Mbowe.Natumai ZZK pia sauti yake itasaidia pia watesi kukuona wapo uchiii.Nawaona CCM bado wanamtumia Mzee Cheyo justify eti wanawashirikisha vyama katika matukio kitaifa.
 
Ataongea kwa target sana akichagua maneno asije kuwakwaza marafiki zake kwenye serikali ya umoja wa kitaifa, Zitto namuona kama mwanasiasa aliepo kifungoni bila yeye kujua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…