Ghost boss
Member
- May 3, 2019
- 33
- 57
Habarini ndugu zangu, jina langu naitwa Monica ni msichana mwenye umri wa miaka 25 sijaolewa bado.
Ni miezi mitatu tangu nimpate mtu ambaye niliona ni sahihi kwangu ni mtu ambaye alikuwa huru namm sana pia ni mtu ambaye naweza ishi nae kama rafiki na mume pia na nikiwa nae ananifanya niwe mtu mwenye furaha kiufupi n mtu ambaye ananipenda pamoja na mapungufu yangu mengi bila hata kuhesabu makosa yangu pamoja na kujua nina tatizo la hormone ni ngumu kupata mtoto lakini bado akakubari kunioa ivo ivo then tutalihangaikia pamoja kiufupi nimeona ni mwanaume wa tofauti kuliko wanaume wote ambayo nilishakua nao kabla ingawa umri wake ni miaka 26 kanizidi kidogo sana.
Ingawa ni muda mchache tangu tuanze mahusiano ambapo kuna muda nilikuwa nahisi ananiigizia ila kiufupi niliridhika nayeye
Shida imekuja mwezi huu akawa anataka anioe tuishi pamoja lakini nilikuwa nahisi kama bado hatujajuana vizuri ingawa tushashiriki tendo la ndoa mala nyingi nilikuwa natamani tusubiri kidogo, wakati bado nafikiria nikubali anioe saiz au nisubir kidogo kuna mwanamke alinipigia cimu na kunambia mimi bado msichana mdogo sana kuna kitu anataka kunambia nachotaka kuchukulia maamzi nilipomwambia aniambie akajibu siwezi kukwambia saiz kesho nitafte ndo nikwambie nikamjibu sawa. Nilipokutana na uyu mpenzi wangu nilimuliza akasema hamjui na nilivyojarbu kupiga kwenye cimu yake namba alikuwa hajaisave
Kesho yake nilimpuuzia sikumpgia cimu, kesho yake tena akanipgia akaniuliza mbona hujanitafta nikamjibu nilikuwa nasubiri unipgie mwenyewe, akanambia mtu fulani unamfahamu nikajibu ndio ni nani kwako nikamwambia unajua ni nani kwangu ndo maana umenipgia akanambia mwambie mkapime virusi vya ukimwi mulazimishe vyovyote vile adi akubari ukipuuzia utakufa nilipo muuliza wewe ni nani kwani hakutaka kunambia ila cha ajabu yeye adi jina langu halisi analijua ambalo hata huyu mpenzi wangu halitumii
Nilishtuka niliwaza vingi maamzi niliyo fanya ni kumpgia cimu uyo mpenzi wangu na kumwambia anifwate nilipo akanambia baada ya mda fulani atakuja na kweli alikuja
Nilimuliza tena na kumsikilizisha sauti ya yule dada lakini bado akawa hamtambui nayeye akaanza kuhisi mimi ndo namchezea tu mchezo nikamwambia nataka tukapime alikubali bila hata kukwepa, ila kwakuwa mda ulikuwa umeenda ilitubidi twende asubhi
Asubuh ilipofika tulienda hospital kupima tulipopima vipimo vyangu vilionyesha mimi ni mzima ila yeye ana maambukizi ya virusi ukimwi, alilia sana mbele ata ya doctor na alipoambiwa achague kituo cha kuanzisha kuchukua dawa alikataa na kusema doctor ampe mda afiklie ilibidi doctor akubari na doctor alinambia jukumu la kumfariji ni la kwangu
Muda huo akanipa nauli kwamba niondoke peke angu nayeye aondoke kivyake kwakuwa nilikuwa naelewa yupo katika wakati mgumu ilibidi niende nae adi nyumbani kwake
Ilibidi nilale kwake kwasababu nilikuwa nahofia nikiondoka anaweza chukua maamzi magumu kwa sababu nilimwona yupo kwenye hali mbaya alikuwa analia kama mtoto na alikuwa mda wote anasema anaumia kunipoteza kwasabu siwezi kuishi tena nayeye ilibidi nimwambie nitaishi nawewe sitokuacha kwa kumfariji ingawa akiri yangu ilikuwa ishavurugika sielewi nini cha kufanya
Baada ya kwamwambia ivo niliona kama ni mtu alianza kuweka tena tumaini tukaendelea kupanga kuoana tena ila akirini mwangu bado nilikuwa sijafanya maamzi kwa sababu anapokaa nilimwambia sijapapenda nilimuahidi kodi ikiisha tutahama pamoja, tukaenda hadi kuulizia vyombo ingawa moyoni mwangu naogopa sana kuishi nae pamoja na kwamba nampenda, ingawa doctor alinambia naweza ishi nae bila mimi kupata maambukizi wala watoto
Hadi leo hii hajafanya maamzi wapi atachukua dawa anatamani ahamie mbali kabisa au dawa akachukulie mbali, nilikubari kuolewa nae ili kumfarij ila kiukweli nimechanganyikiwa ata sielewi nifanye nini au niamue nini nawaza vingi sana nitawezaje kuishi nae bila kuambukizwa na vipi akiugua nitamuuguzaje na vipi ndugu zangu wakijua ni muathirika watamuheshimu kweli apa nimechanganyikiwa sijui 1 wala 2.
Tafadhari naombeni ushauri wenu, pia naomba unambie ungekuwa wewe ni Monica ungechukua maamuzi gani nitapitia kusoma ujumbe hapo chini.