Wewe unaelewa lipiUmejikanganya sana kwenye comment yako hii.
Lipi unalolisimamia, kwamba haiwezekani kufanya mapenzi mara nyingi bila kuambukizana?
Sasa akmuacha jamaa katika Hali aliyonayo Nani mwingine wa kukaa naye. Hilo ni suala lake mwenyewe itabidi akubali kuishia naye tu ..maana anaeweza kumuacha mshikaji akapata balaa kubwa zaidi. Hero nusu Shari kuliko Shari kamili.Najaribu kufikiria kama ni mdogo wangu wa kike kabisa, halafu ameomba ushauri kama huu jibu lingekuwaje. Hapo jibu lingekuwa moja tu. ACHANA NAYE MARA MOJA NISIJEKUSIKIA.
Iko hivi, mara nyingi hali hii ikitokea wanaovumiliana ni pair mbili tu, yaani ikiwa wote ni waathirika au ni wanandoa tayari.
Lakini kwa wachumba tu tena uchumba usio rasmi mambo yanaweza kuishia hapa.
Jambo la msingi kama ulivyoshauriwa baada ya miezi mitatu nenda kapime. Na kwa sasa kwepa kukutana naye kimwili mpaka uthibitishe status ya afya yako. UKIKUTWA UKO SALAMA KIMBIA MBIO NDEFU.
Ushauri wote unaotolewa humu ni kwa kuwa hawakujui. Mdogo wangu kama ukipima utakuwa salama achana naye. Umia siku moja lakini ukawa na amani ya siku zingine zijazo, kuliko ukaitafuta amani ya sasa kwa msongo na maumivu ya the rest of your life. Wanawake ni wengi wenye status yake na ni wazuri atawapata. Ila kama ana pesa na ndizo unazotaka kujilipua nazo basi sawa kila la heri.
Sio mume wake wa ndoa huyo na si yeye aliyemuambukiza. Swala la kukubali kuishi naye ataamua yeye ila kwa mimi naona si sawa aishi maisha yake. Namna ya kuachana atafute mbinu. Na kama jamaa ni muelewa ataelewa tu. Upendo ni pamoja na kutorisk afya ya mwenzio. Sio lazima mtumbukie wote shimoni kama mmoja yuko humo tayari.Sasa akmuacha jamaa katika Hali aliyonayo Nani mwingine wa kukaa naye. Hilo ni suala lake mwenyewe itabidi akubali kuishia naye tu ..maana anaeweza kumuacha mshikaji akapata balaa kubwa zaidi. Hero nusu Shari kuliko Shari kamili.
Na kwa jinsi ninavyoelewa wanaume na roho zetu atamwambukiza makusudi ili wawe saresare.Nachokishauri hapa ni kimoja tu:
Kama hayuko tayari kuchagua sehemu atakayochukulia dawa na bado hajafanya maamuzi na still mnakutana katika tendo hili ni tatizo la ziada....
Kuna uwezekano ukapata maambuki 100% mshauri aanze dawa ili kupunguza kiwango cha maambuki ili aweze kukulinda kama anakujali na kukupenda kweli....
Au amedhamiria upate ndio afanye maamuzi
NDOA NI FUMBO, KIJANA KAMA HUJAKOMAA KULIJUA HILO FUMBO USITHUBUTU KUTIA MGUU AU HATA KIGANJA CHA KIDOLE