Hatma ya elimu yangu

Elimu uliyoipata inatosha kukufikisha unakotaka kwenda. Maisha ni kuchagua na maadam umechagua biashara na una ridhiko la moyo na furaha, ndo maisha yenyewe hayo.

Najua utaendelea kuinuka na hata kuwa mmojawapo wa matajiri wakubwa hapa Bongo na pengine hata Afrika, lakini hata ikitokea biashara zikayumba hutajutia uamuzi wako, na utasimama tena na kusonga mbele.

Hao uliowaacha kwenye udaktari huko siku moja utawaajiri wawe madaktari wa familia yako. Ndo maisha!
 
Najivunia sana watu Kama wewe.
Asante kwa maneno yako machache, yenye kunipa nguvu ya kuendelea kupambana.......
Stay blessed broh
 
Hongera kwa elimu uliyo ipata Ajira yenyewe hakuna.
 
Hongera kiongozi[emoji122].. Fanyia kazi huo ushauri wa kusomea kadegree chochote hata Uchumi au Management
 
Hongera kiongozi[emoji122].. Fanyia kazi huyo ushauri wa kusomea kadegree chochote hata Uchumi au Management
Sauti ya wengi ni Sauti ya Mungu.
Hili la kusomea degree yoyote nalichukua nilifanyie kaz.
Asante kwa kulikazia kaka.
 
Hongera kiongozi[emoji122].. Fanyia kazi huyo ushauri wa kusomea kadegree chochote hata Uchumi au Management
Atakuwaje na wasiwasi wakati A'level cheti PCB 1-5 Chuo chochote anaenda ht km ndoto zake zikiwa medicine anaweza omba upya vyuo vingine. Hukufeli sababu ya masomo magumu bali sababu ya muda mwingi kutafuta pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…