Hatma ya Erick Kabendera bado ipo kwa DPP, Kesi yaahirishwa hadi Januari 2, 2020

Hatma ya Erick Kabendera bado ipo kwa DPP, Kesi yaahirishwa hadi Januari 2, 2020

Kua mpore serikali ni mzazi wko, hata biblia imeandika itiini mamlaka ya nchi,sasa wewe unaeleta jeuli ni nani na tecno yko umeshiba makande unaanza kumtukana raisi ,sometime nahis humu wengi haziwatoshi kichwaniView attachment 1296677

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza fika huko hata kama hutamtukana rais.

Nenda kashuhudie mahakamani na mahabusu uone watu wamekaa miaka mingapi na kesi zao sio za kutukana na wengi wamebambikiwa.

Wakimalazana na hao, hiki kikombe kitakufukifikia. Muda wako bado

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom