Hatma ya Erick Kabendera bado ipo kwa DPP, Kesi yaahirishwa hadi Januari 2, 2020

Unaweza fika huko hata kama hutamtukana rais.

Nenda kashuhudie mahakamani na mahabusu uone watu wamekaa miaka mingapi na kesi zao sio za kutukana na wengi wamebambikiwa.

Wakimalazana na hao, hiki kikombe kitakufukifikia. Muda wako bado

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…