OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Picha linaanza mashabiki wa Mamelod wakilaumu vikali na kulalamika kupangwa na timu wanayoiona ni underdog YANGA SC, huku wakidai kuwa wao ni wakubwa walimtaka mkubwa simba SC na wakajiona tayari washatinga nusu fainali kama mwaka jana... Wazungu wanasema "More expectation more disappointment", just imagine Yanga akamtoa mamelod, timu ambayo ina wachezaji wenye ubora kiwango cha AFCON, Fikiria reaction ya mashabiki, fikiria reaction ya MOTSEPE. Kivyovyote vile mtu wa kwanza kubebeshwa lawama ni kocha MOKWENA. INAENDELEA