OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
- Thread starter
- #21
unamjua MANGOBA MANGITH? huyu alikuwa kocha mkuu na msaidizi wake alikuwa ni MOKWENA kutokana na perfomance mbovu unajua kilichomkuta? nakupa assignment. pia unajua kuwa GAMOND naye yalimkuta ya kumkuta akiwa kama kocha mkuu wa mamelod?huna unachojua,mokwena hawezi kufukuzwa hata mamelodi wakifungwa