OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
gamondi huyu kihande. yanga will lose in lortus
Copied&reserved for future usegamondi huyu kihande. yanga will lose in lortus
Acha kupoteza mda. Al ahly kala 5 pale Loftus stadium. amna team ya semi final amna kocha wa semi finalCopied&reserved for future use
huna unachojua,mokwena hawezi kufukuzwa hata mamelodi wakifungwaPicha linaanza mashabiki wa Mamelod wakilaumu vikali na kulalamika kupangwa na timu wanayoiona ni underdog YANGA SC, huku wakidai kuwa wao ni wakubwa walimtaka mkubwa simba SC na wakajiona tayari washatinga nusu fainali kama mwaka jana... Wazungu wanasema "More expectation more disappointment", just imagine Yanga akamtoa mamelod, timu ambayo ina wachezaji wenye ubora kiwango cha AFCON, Fikiria reaction ya mashabiki, fikiria reaction ya MOTSEPE. Kivyovyote vile mtu wa kwanza kubebeshwa lawama ni kocha MOKWENA. INAENDELEA
Unatafuta kiki kupitia Yanga,chunga usije kupakwa VaselineAcha kupoteza mda. Al ahly kala 5 pale Loftus stadium. amna team ya semi final amna kocha wa semi final
Siyo tu kuingia uwanjani kinyumenyume au kutumia lango lisilo rasimi,bali hata wakiingia uwanjani wakiwa UCHI kipigo kiko palepale kina wasubiri.Picha linaanza mashabiki wa Mamelod wakilaumu vikali na kulalamika kupangwa na timu wanayoiona ni underdog YANGA SC, huku wakidai kuwa wao ni wakubwa walimtaka mkubwa simba SC na wakajiona tayari washatinga nusu fainali kama mwaka jana... Wazungu wanasema "More expectation more disappointment", just imagine Yanga akamtoa mamelod, timu ambayo ina wachezaji wenye ubora kiwango cha AFCON, Fikiria reaction ya mashabiki, fikiria reaction ya MOTSEPE. Kivyovyote vile mtu wa kwanza kubebeshwa lawama ni kocha MOKWENA. INAENDELEA
AaahaaaaEndape atabaki na msimamo wake wa soka la kumiliki mpira na mambo yakawa magumu je wachezaji wake wataendelea kumtii ? Natural insticts za mchezaji mmoja mmoja zitafanya kazi yaani ni sawa na mtu aliyefundishwa karate akapigwa konde la uso mara nyingi hupanic na kusahau mbinu zote hujikuta akirusha ngumi hovyo hovyo huku akiacha uso wazi mwisho wa siku hupigwa na kuaibika, kwa mantiki hiyo wachezaji wa mamelod natural instics zao zitawaforce wapige mipira ya juu na watajikuta wanaingia kwenye mfumo wa yanga. SI MNAYAKUMBUKA YA BELOZDAD, Mnakumbuka tukio la kocha kutaka kuzichapa na mchezaji wake? kaeni kwa kutulia.
Hahahahaha umetokea kuchukia mpira siku hz...hahahahaUkishabikia sanaaaa Simba na Yanga. kichwani lazima zipungue.
KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMEWARUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....
MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.
HIZO TIMU NI VYOMBO VYA PROPAGANDA VYA SELIKALI KUWAPOTEZA MABOYA.
MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
Hahahahaha umetokea kuchukia mpira siku hz...hahahaha
Hahahahaha..nje ya uwanja hii kazi ya polisi..huko America ya kusini vurugu na purukushani kama hizo kawaidaMpira umevamiwa na Machizi soka.
Juzi Taifa watu wameuwawa
Wamepigwa virungu.
Wamepigwa Mabomu nk
Wengine wamepata Ajali hadi vifo nk.