hatma ya Kibarua cha kocha Rhulani Mokwena kipo mikononi mwa Yanga SC.

huna unachojua,mokwena hawezi kufukuzwa hata mamelodi wakifungwa
unamjua MANGOBA MANGITH? huyu alikuwa kocha mkuu na msaidizi wake alikuwa ni MOKWENA kutokana na perfomance mbovu unajua kilichomkuta? nakupa assignment. pia unajua kuwa GAMOND naye yalimkuta ya kumkuta akiwa kama kocha mkuu wa mamelod?
 
Watu tulifanya uchambuzi mapema, haya sasa mamelod kakutana na wanaojua kupaki bus na kushambulia kapigwa nje ndani, kifuatacho ni kocha kifukuzwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…