Penologist
JF-Expert Member
- Feb 25, 2019
- 790
- 1,923
Hii ID isije ikawa ya kweli. Na BM haelewi ndiyo anapewa taarifa hapa kuwa Annie kaolewa Mwanza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usijali utawapata tu, mwambie Shemeji aongeze speed kidogo mambo yatajipaJamani Mimi ni dada nina mume, sijapata Watoto bado.
Mbona hulet muendelezo BM X6 honeyUsijali utawapata tu, mwambie Shemeji aongeze speed kidogo mambo yatajipa
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunashukuru kwa updates, so BM aendelee na mzungu caren?.Jamani Mimi ni dada nina mume, sijapata Watoto bado.
Hawataweza...wataachanaTunashukuru kwa updates, so BM aendelee na mzungu caren?.
Haiwezi kuwa ya kweli, kwanza ni lazima huyo mtu ana ID aliyokuwa akiitumia mwanzo kusomea huu uzi ndio akafanya maamuzi ya kufungua hiyo ID mpyaHii ID isije ikawa ya kweli. Na BM haelewi ndiyo anapewa taarifa hapa kuwa Annie kaolewa Mwanza.
Nimetokea kumpenda sana huyu kaka. HujakoseaHuyu ni anaonekana shabiki yako kindakindaki, ameshindwa ficha hisia zake kwako akaamua kutengeneza ID mpya amejiunga 16March2023View attachment 2560981
Annie amekuwa introduced jf na rafiki yake ambaye yeye ni mkongwe humu, alipo ona uzi unao mhusu rafiki unatrend akaamua kumshutua. Nawaza tu.Haiwezi kuwa ya kweli, kwanza ni lazima huyo mtu ana ID aliyokuwa akiitumia mwanzo kusomea huu uzi ndio akafanya maamuzi ya kufungua hiyo ID mpya
Haiwezekani kwa mtu ambaye hajawahi kutumia Jamii forum halafu akajiita Annie X6
Sent using Jamii Forums mobile app
Uvuvi?Nimetokea kumpenda sana huyu kaka. Hujakosea
Aloo fear women...🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽Nimetokea kumpenda sana huyu kaka. Hujakosea
Dah! Ila blaza umekazania hiyo point ya Annie kuolewa Mwanza....yani hunitakii mema kabsaAnnie amekuwa introduced jf na rafiki yake ambaye yeye ni mkongwe humu, alipo ona uzi unao mhusu rafiki unatrend akaamua kumshutua. Nawaza tu.
Anyway threads za story zilizo bamba hadi caracter wake kuanzishiwa ID ni ya 'Khumbu' na hii 'hatma yaaisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa bguruni' Ila ile ya khumbu mwishoni ilijulikana khumbu alikuwa kafariki. Hii ya kijana wa buguruni natabiri Annie kuolewa na mtu mwingine jijini Mwanza.
Na mm nakupenda pia Annie wanguNimetokea kumpenda sana huyu kaka. Hujakosea
My thought...Imeandikwa sehemu gani
Hahaaa