Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Hii ID isije ikawa ya kweli. Na BM haelewi ndiyo anapewa taarifa hapa kuwa Annie kaolewa Mwanza.
 
Hii ID isije ikawa ya kweli. Na BM haelewi ndiyo anapewa taarifa hapa kuwa Annie kaolewa Mwanza.
Haiwezi kuwa ya kweli, kwanza ni lazima huyo mtu ana ID aliyokuwa akiitumia mwanzo kusomea huu uzi ndio akafanya maamuzi ya kufungua hiyo ID mpya

Haiwezekani kwa mtu ambaye hajawahi kutumia Jamii forum halafu akajiita Annie X6

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu ni anaonekana shabiki yako kindakindaki, ameshindwa ficha hisia zake kwako akaamua kutengeneza ID mpya amejiunga 16March2023View attachment 2560981
 

Attachments

  • Screenshot_20230321_212924.jpg
    16.4 KB · Views: 64
Annie amekuwa introduced jf na rafiki yake ambaye yeye ni mkongwe humu, alipo ona uzi unao mhusu rafiki unatrend akaamua kumshutua. Nawaza tu.

Anyway threads za story zilizo bamba hadi caracter wake kuanzishiwa ID ni ya 'Khumbu' na hii 'hatma yaaisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa bguruni' Ila ile ya khumbu mwishoni ilijulikana khumbu alikuwa kafariki. Hii ya kijana wa buguruni natabiri Annie kuolewa na mtu mwingine jijini Mwanza.
 
Dah! Ila blaza umekazania hiyo point ya Annie kuolewa Mwanza....yani hunitakii mema kabsa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee atakuwa kamtuma amtongoze Michelle ili aweze kuachana na yule Mr michelle maana akaona kabisa caren anaweza kujisimamia na akapata mwanaume wa maana tatizo lipo kwa dada mzee kaona amtafutie na mume kabisa, ila sasa huzuni kwa BM maana yeye kamuelewa Caren masikini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…